mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Shida sio kuogopa kufa bali kupoteza wanajeshi kizembe.hakuna anayependa kupoteza wanajeshiMjomba ukiwa jeshi huogopi kufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida sio kuogopa kufa bali kupoteza wanajeshi kizembe.hakuna anayependa kupoteza wanajeshiMjomba ukiwa jeshi huogopi kufa.
Magaidi ya Hamas yanakula kichapo cha hatari muda si mrefu wataomba jumuiya za kimataifa ziwasemee kwa kichapo hichi hawatokaa wakubali Iran iwarubuni tenaKitu kilchotokea Israel ni kibaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.Na yote ni kutokana na siasa za ubabe wa Benjamin Netanyahu.
Siasa zake hizo imekuwa sababu ya kuwakasirisha zaidi wapalestina ambao sasa wameamua kujitoa muhanga kupambana badala ya kulia lia na kuomba kuhurumiwa.
Wananchi wa Israel kwa upande wao wana sababu ya kuendeleza maandamano yao kumuondoe kiongozi huyo na sio kumuunga mkono katika matangazo yake ya kulipiza kisasi kwa makosa ya kiongozi wao.
Kuendelea kwa mikakati ya vita ijapokuwa Israel ina nguvu kubwa ya kijeshi lakini huenda ikaleta msuguano wa kivita wa muda mrefu kuyavuta mataifa mengine ya kiarabu na ulimwengu wa kiislamu kuamua kuingilia kati kuwatetea wapalestina.
Hilo la kubadilika kwa mawazo yaliyolala ya mataifa hayo mengi yao yakiwa ni jirani na Israel ni jambo linalochochewa na kauli za kuunga mkono kwa nguvu zinazotolewa na mataifa ambayo yana urafiki na Israel kama vile Marekani,Ufaransa,Canada,Uiengereza na Ukarine ambao bila kificho wamesema wanaiunga mkono Isreael na wataipa msaada ili kujilinda.
Umuhimu huo wa kujiuzulu unaongezeka kutokana na afya yake ya moyo ambapo mambo yakienda kombo zaidi yanaweza yakamzidishia matatizo hayo ya kuifya na kulazimika kuachia katikati ya vita jambo litakalowapa ushindi Hamas mara mbili zaidi.
Ni ushauri tu.
Tulia wewe mammalia misikiti inateketezwa huko kama vipi nenda kaandamaneWanaomshabikia kule Marekani na Ulaya akina Sunak hawamtakii mema.Tusubiri tutaona
We mjomba hujui history ya hawa jamaa. Unakumbuka machinjio ya Damascus miaka ya 78. Pale ni survive of the fittest Mzee kwamba iwe isiwe lazima tushinde kwa usalama wetu.Shida sio kuogopa kufa bali kupoteza wanajeshi kizembe.hakuna anayependa kupoteza wanajeshi