Ni wakati wa Netanyahu kujiuzulu, sio kupanga vita. Anasubiri nini?

Magaidi ya Hamas yanakula kichapo cha hatari muda si mrefu wataomba jumuiya za kimataifa ziwasemee kwa kichapo hichi hawatokaa wakubali Iran iwarubuni tena
 
Shida sio kuogopa kufa bali kupoteza wanajeshi kizembe.hakuna anayependa kupoteza wanajeshi
We mjomba hujui history ya hawa jamaa. Unakumbuka machinjio ya Damascus miaka ya 78. Pale ni survive of the fittest Mzee kwamba iwe isiwe lazima tushinde kwa usalama wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…