Ni Wakati wa Serikali kuacha Ubaguzi wa Sisi Wakazi wa Oysterbay. Nimekasirishwa sana na hili jambo

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua)

Juzi wakati Mlinzi wangu ananishukuru kwa kumtumia viji dollar vya Sikukuu maana huwa nawatoa kitu kila sikukuu angalau kila mmoja apate Usd 5,000. Akale sikuu kuu. Ukiacha ya likizo ambayo huwa nawapa Usd 10,000 kila mtu. Tuyaache hayo maana mtaanza kusema nawapa pesa kidogo. Well, nawajua hawa jamaa. Ukiwapa pesa nyingi wanaacha na kazi wanaenda kuoa.

Mlinzi anasema TANZANIA KUNA MGAO WA UMEME. nikamuuliza pale Oysterbay nao wanapata huo Mgao. Anasema haijawahi tokea. Hapo nikashangaa. Yaani Tanzania nzima wanapata Mgao wa umeme. Sisi tupo Oysterbay Serikali haitugaii kitu? Why? Huu ni Ubaguzi. Pale Oysterbay nafahamu kuna wale wachuuzi wadogo wadogo ukipita maeneo ya Coco Beach. Wapewe nao huo umeme.

Sawa mimi sihitaji mgao. What about some of the Waziris wanaokaa kule? Nawafahamu Mawaziri kadhaa wanakaa kule. Why wao wasipewe huo mgao? Wametumikia nchi hii kwa muda kadhaa.

Hapa Serikali inatengeneza matabaka sana. Mwishowe itaonekana kama sisi si raia wa Tanzania. Mgao wapate wote na sisi Wa Oysterbay tupewe ingawa binafsi sihitaji but najua kuna wanaohitaji.

Hapa nakunywa mvinyo toka Italy Barolo. Na Chakula ni Gordon Ramsay pizza... Nimezungukwa na watoto 3 wakali wa Kilatino.... Wananisifu na kuniabudu tu...maana wameona kazi zetu weusi zilivuo.ni watoto wa Matajiri sana....baba zao ndo wale mnaowana kwenye Movies wanajuliana kama Mafioso.

Sasa huwa nawasaidia kwenye mahesabu yao flani flani ili wasiingie matatani na Serikali zao so kama zawadi kila mzee ametoa binti yake mmoja Bikra mimi ndo nifanye ufunguzi. Kama Heshima kwao na kutambua mchango wangu.

Wadau mwaka unaishia huu...usibebe makasiriko na uchovu wa moyo wa mwaka huu kwenda nao mwaka ujao.mwaka huu kama hukupiga hatua. Mwakani piga msamba kabisa. Ukienda bank au kwenye ATM huwezi toa pesa kwenye akaunti yako. Basi toa hata ushuhuda.

hata marekani, hata kama hawakati umeme, ila kuna tofauti ya hadhi. huwezi kuona billiget anaishi eneo moja na wafanyakazi wa umma au hao ndugu zako. hata mimi nikipata pesa huwezi kuiniona naishi manzese. hata ukiachana na uzunguni au uhindini vs uswahilini, ila kuna maeneo hata upimaji wa ardhi tu huitwa "prime area" au low density area. hapo ni pakubwa na sio uswahilini, na huko ndio huishi watu wa hadhi ya juu ambao ndio wanaongoza nchi. ukiona nchi inaendelea kiutawala au kibiashara kuna watu wanahitaji kuishi maeneo yaliyotulia wafikirie naman ya kuiendesha,hawawezi kuishi mtaa mmoja na wakaanga chips na wauza pombe bar. upo hapo?
 
He hee hee he sisi tupo Kilimanjaro Tuna Kula Sikuku Kwanza.
 
Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua)

Juzi wakati Mlinzi wangu ananishukuru kwa kumtumia viji dollar vya Sikukuu maana huwa nawatoa kitu kila sikukuu angalau kila mmoja apate Usd 5,000. Akale sikuu kuu. Ukiacha ya likizo ambayo huwa nawapa Usd 10,000 kila mtu. Tuyaache hayo maana mtaanza kusema nawapa pesa kidogo. Well, nawajua hawa jamaa. Ukiwapa pesa nyingi wanaacha na kazi wanaenda kuoa.

Mlinzi anasema TANZANIA KUNA MGAO WA UMEME. nikamuuliza pale Oysterbay nao wanapata huo Mgao. Anasema haijawahi tokea. Hapo nikashangaa. Yaani Tanzania nzima wanapata Mgao wa umeme. Sisi tupo Oysterbay Serikali haitugaii kitu? Why? Huu ni Ubaguzi. Pale Oysterbay nafahamu kuna wale wachuuzi wadogo wadogo ukipita maeneo ya Coco Beach. Wapewe nao huo umeme.

Sawa mimi sihitaji mgao. What about some of the Waziris wanaokaa kule? Nawafahamu Mawaziri kadhaa wanakaa kule. Why wao wasipewe huo mgao? Wametumikia nchi hii kwa muda kadhaa.

Hapa Serikali inatengeneza matabaka sana. Mwishowe itaonekana kama sisi si raia wa Tanzania. Mgao wapate wote na sisi Wa Oysterbay tupewe ingawa binafsi sihitaji but najua kuna wanaohitaji.

Hapa nakunywa mvinyo toka Italy Barolo. Na Chakula ni Gordon Ramsay pizza... Nimezungukwa na watoto 3 wakali wa Kilatino.... Wananisifu na kuniabudu tu...maana wameona kazi zetu weusi zilivuo.ni watoto wa Matajiri sana....baba zao ndo wale mnaowana kwenye Movies wanajuliana kama Mafioso.

Sasa huwa nawasaidia kwenye mahesabu yao flani flani ili wasiingie matatani na Serikali zao so kama zawadi kila mzee ametoa binti yake mmoja Bikra mimi ndo nifanye ufunguzi. Kama Heshima kwao na kutambua mchango wangu.

Wadau mwaka unaishia huu...usibebe makasiriko na uchovu wa moyo wa mwaka huu kwenda nao mwaka ujao.mwaka huu kama hukupiga hatua. Mwakani piga msamba kabisa. Ukienda bank au kwenye ATM huwezi toa pesa kwenye akaunti yako. Basi toa hata ushuhuda.

Mkuu Pole Sana, Una tatizo kubwa sana la afya ya akili

Kuna wanasaikolojia huwa wanatibu na wanaweza kukusaidia

Tatizo lako kubwa ni kwamba uliweka malengo makubwa sana Katika maisha yako hapo awali kwa kufikiri maisha ni rahisi sana kumbe kwenye Ground mambo ni magumu sana

Umeshindwa kufika maisha mazuri sasa unaishi maisha ya Wengine na hii inapelekea kukosa kujiamini

Bila kupata msaada wa karibu unaweza ukawa total insane

Mwaka fulani nilikutana na mtu Dar es Salaam hapo awali aliwahi kuwa tajiri sana mwenye majumba na Fedha nje lakini alipofilisika ghafla kila wakati alianza kama wewe kuelezea maisha mazuri aliyoishi ambayo hayawezi kuyapata tena, Mwisho wa siku akaanza kuongea ongea mwenyewe na Leo ni story nyingine kabisa

Mkuu Bill Lugano??!

Tulia, Tulia, Tuliza akili yako, Jipe muda pumzika utaishi maisha mazuri na ya uwezo wako, Hapa JF kuna wengi wanapitia kama yako

Kuna graduate hapa wa vyuo vikuu nao wengi kwa sasa wamepanic kama wewe lakini kikubwa ni kutulia

Pesa ina mambo mengi Usifikirie watu wenye pesa basi wana Furaha na wanakula maisha, Pengine maskini anayelala kwenye mbavu za Mbwa ana Furaha kuliko hao unaowafikiria wewe ndotoni

Nimeshangaa wewe ni Mnyakyusa wa kwanza kuona umechanganyikiwa na kufika hatua hii ya kuota mambo ambayo hayapo kwako
 
Huna baya kiongozi, wewe ni mchapa kazi Sana. Kikubwa tukumbuke maskini wenzio

naomba uwe investor katika moja ya project zangu za kwenda JamiiForums planet Bill Lugano
 
You are playing yourself like soltaire hahaaaa sasa hapo mbna unajitekenya unacheka mwenyew same ip address same phone...That means same person 😂😂😂🤔😂
 
Mkuu Pole Sana, Una tatizo kubwa sana la afya ya akili

Kuna wanasaikolojia huwa wanatibu na wanaweza kukusaidia

Tatizo lako kubwa ni kwamba uliweka malengo makubwa sana Katika maisha yako hapo awali kwa kufikiri maisha ni rahisi sana kumbe kwenye Ground mambo ni magumu sana

Umeshindwa kufika maisha mazuri sasa unaishi maisha ya Wengine na hii inapelekea kukosa kujiamini

Bila kupata msaada wa karibu unaweza ukawa total insane

Mwaka fulani nilikutana na mtu Dar es Salaam hapo awali aliwahi kuwa tajiri sana mwenye majumba na Fedha nje lakini alipofilisika ghafla kila wakati alianza kama wewe kuelezea maisha mazuri aliyoishi ambayo hayawezi kuyapata tena, Mwisho wa siku akaanza kuongea ongea mwenyewe na Leo ni story nyingine kabisa

Mkuu Bill Lugano??!

Tulia, Tulia, Tuliza akili yako, Jipe muda pumzika utaishi maisha mazuri na ya uwezo wako, Hapa JF kuna wengi wanapitia kama yako

Kuna graduate hapa wa vyuo vikuu nao wengi kwa sasa wamepanic kama wewe lakini kikubwa ni kutulia

Pesa ina mambo mengi Usifikirie watu wenye pesa basi wana Furaha na wanakula maisha, Pengine maskini anayelala kwenye mbavu za Mbwa ana Furaha kuliko hao unaowafikiria wewe ndotoni

Nimeshangaa wewe ni Mnyakyusa wa kwanza kuona umechanganyikiwa na kufika hatua hii ya kuota mambo ambayo hayapo kwako
Huyu jamaa ni tajiri njozi tu
Anapaona obay bab kubwa,wakati obay wenyewe mgawo unawahusu sana tu,shida ya maji yenyewe wanapataga
Huko obay,masaki yenyewe licha ya kuwa na watu fulani lakini bado kuko ovyo tu,kumejaa mabar tu na vibanda vya wauza genge
Barabara zenyewe tope tu asilimia kubwa

Ova
 
Sikumbuki hata nilitaka nuandika nini, ngoja nipite kushoto kwenye huu round about
 
Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua)

Juzi wakati Mlinzi wangu ananishukuru kwa kumtumia viji dollar vya Sikukuu maana huwa nawatoa kitu kila sikukuu angalau kila mmoja apate Usd 5,000. Akale sikuu kuu. Ukiacha ya likizo ambayo huwa nawapa Usd 10,000 kila mtu. Tuyaache hayo maana mtaanza kusema nawapa pesa kidogo. Well, nawajua hawa jamaa. Ukiwapa pesa nyingi wanaacha na kazi wanaenda kuoa.

Mlinzi anasema TANZANIA KUNA MGAO WA UMEME. nikamuuliza pale Oysterbay nao wanapata huo Mgao. Anasema haijawahi tokea. Hapo nikashangaa. Yaani Tanzania nzima wanapata Mgao wa umeme. Sisi tupo Oysterbay Serikali haitugaii kitu? Why? Huu ni Ubaguzi. Pale Oysterbay nafahamu kuna wale wachuuzi wadogo wadogo ukipita maeneo ya Coco Beach. Wapewe nao huo umeme.

Sawa mimi sihitaji mgao. What about some of the Waziris wanaokaa kule? Nawafahamu Mawaziri kadhaa wanakaa kule. Why wao wasipewe huo mgao? Wametumikia nchi hii kwa muda kadhaa.

Hapa Serikali inatengeneza matabaka sana. Mwishowe itaonekana kama sisi si raia wa Tanzania. Mgao wapate wote na sisi Wa Oysterbay tupewe ingawa binafsi sihitaji but najua kuna wanaohitaji.

Hapa nakunywa mvinyo toka Italy Barolo. Na Chakula ni Gordon Ramsay pizza... Nimezungukwa na watoto 3 wakali wa Kilatino.... Wananisifu na kuniabudu tu...maana wameona kazi zetu weusi zilivuo.ni watoto wa Matajiri sana....baba zao ndo wale mnaowana kwenye Movies wanajuliana kama Mafioso.

Sasa huwa nawasaidia kwenye mahesabu yao flani flani ili wasiingie matatani na Serikali zao so kama zawadi kila mzee ametoa binti yake mmoja Bikra mimi ndo nifanye ufunguzi. Kama Heshima kwao na kutambua mchango wangu.

Wadau mwaka unaishia huu...usibebe makasiriko na uchovu wa moyo wa mwaka huu kwenda nao mwaka ujao.mwaka huu kama hukupiga hatua. Mwakani piga msamba kabisa. Ukienda bank au kwenye ATM huwezi toa pesa kwenye akaunti yako. Basi toa hata ushuhuda.

Tupiaga na picha wewe tajiri njozi

Ova
 
Bill Lugano aliniachaga hoi kwenye thread yake ya kwanza kwanza may 2019 ile ya nyumba ya mengi. Eti alivyokuwa mdogo madogo wa uswahili walimtembelea kwao wakasghangaa jopo la mabeki tatu wanavyomfukuza hapa na pale kumlazimisha kula na kunywa sausages ice cream burgers na milkshake. Madogo wauswahilini walishangaasana na kusema wangetamani wawe kwenye nafasi yake anayoichezea milele.

Nilicheka balaa
 
Bill Lugano katika ubora wako🤣🤣
Ukute upo zako Bujonde saa hizi una chupa lako la togwa umepiga pensi lako lililokuwa suruali zamani na vest yako yenye matundu kadhaa unaishi maisha ya matamanio yako kwa kuyaigizia kimaandishi.

Fake it till you make it bro. Uzuri wako unafurahisha, endelea chief.
 
Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua)

Juzi wakati Mlinzi wangu ananishukuru kwa kumtumia viji dollar vya Sikukuu maana huwa nawatoa kitu kila sikukuu angalau kila mmoja apate Usd 5,000. Akale sikuu kuu. Ukiacha ya likizo ambayo huwa nawapa Usd 10,000 kila mtu. Tuyaache hayo maana mtaanza kusema nawapa pesa kidogo. Well, nawajua hawa jamaa. Ukiwapa pesa nyingi wanaacha na kazi wanaenda kuoa.

Mlinzi anasema TANZANIA KUNA MGAO WA UMEME. nikamuuliza pale Oysterbay nao wanapata huo Mgao. Anasema haijawahi tokea. Hapo nikashangaa. Yaani Tanzania nzima wanapata Mgao wa umeme. Sisi tupo Oysterbay Serikali haitugaii kitu? Why? Huu ni Ubaguzi. Pale Oysterbay nafahamu kuna wale wachuuzi wadogo wadogo ukipita maeneo ya Coco Beach. Wapewe nao huo umeme.

Sawa mimi sihitaji mgao. What about some of the Waziris wanaokaa kule? Nawafahamu Mawaziri kadhaa wanakaa kule. Why wao wasipewe huo mgao? Wametumikia nchi hii kwa muda kadhaa.

Hapa Serikali inatengeneza matabaka sana. Mwishowe itaonekana kama sisi si raia wa Tanzania. Mgao wapate wote na sisi Wa Oysterbay tupewe ingawa binafsi sihitaji but najua kuna wanaohitaji.

Hapa nakunywa mvinyo toka Italy Barolo. Na Chakula ni Gordon Ramsay pizza... Nimezungukwa na watoto 3 wakali wa Kilatino.... Wananisifu na kuniabudu tu...maana wameona kazi zetu weusi zilivuo.ni watoto wa Matajiri sana....baba zao ndo wale mnaowana kwenye Movies wanajuliana kama Mafioso.

Sasa huwa nawasaidia kwenye mahesabu yao flani flani ili wasiingie matatani na Serikali zao so kama zawadi kila mzee ametoa binti yake mmoja Bikra mimi ndo nifanye ufunguzi. Kama Heshima kwao na kutambua mchango wangu.

Wadau mwaka unaishia huu...usibebe makasiriko na uchovu wa moyo wa mwaka huu kwenda nao mwaka ujao.mwaka huu kama hukupiga hatua. Mwakani piga msamba kabisa. Ukienda bank au kwenye ATM huwezi toa pesa kwenye akaunti yako. Basi toa hata ushuhuda.

Hamia Tandale
 
Huyu jamaa ni tajiri njozi tu
Anapaona obay bab kubwa,wakati obay wenyewe mgawo unawahusu sana tu,shida ya maji yenyewe wanapataga
Huko obay,masaki yenyewe licha ya kuwa na watu fulani lakini bado kuko ovyo tu,kumejaa mabar tu na vibanda vya wauza genge
Barabara zenyewe tope tu asilimia kubwa

Ova
Mkuu mrangi hivi Oysterbay unaweza kupata sasa hivi nyumba ama Kiwanja 500k usd
 
Back
Top Bottom