Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Demand exceeds supply!Nenda Kino.
Zinapatikana kwa foleni mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demand exceeds supply!Nenda Kino.
Zinapatikana kwa foleni mkuu.
Hongera mzee. Ndivyo inavyotakiwa. Kwa kasi hiyo chama kitakuwa imara. Mimi nitafuata yangu j3.
-una kadi 50 za ccm? Fisadi mkubwa, umepiga kura mara 50 ya rais, mara 50 ya mbunge na mara 50 ya diwani.nami nampango wakurudisha kadi za ccm na kuchukua yangu ya chadema!
View attachment 16377View attachment 16376
Hata mwanangu wa miaka miwili anajua Lowasa ni fisadi.
Nilimuonesha jana kwenye TV.
Nikamuita: "mwanangu njoo uone fisadi kwenye TV". Akaja.
Hawa CCM tunawaweza. Ni suala la kuthubutu tu.
Si hicho tu.
Nadhani wanamageuzi wote nilazima tuanze kampeni sasa hivi.
Nitabeba Box kwa sana na kutumia sehemu ya kipato kupiga Semina ya makada wangu 70 kisha hao makada 70 watakwenda kufanya kazi nzito ya kujenga wanamageuzi 700 kila mwezi kwa mtindo wa 101 kwa muda wa miaka 5 au miezi 60. Muda wa kupiga kura ukifika ni lazima niwe na kura zisizo pungua 30,000 kwa Dr Slaa.
Kazi hapa ni kumshawishi Dr Slaa kugombea tena 2015.
mkuu na mimi nataka hiyo kadi mpaka niende pale kinondoni?
Hapo sijaona vitendo. Nawashawishika kama vile ya kuokota utaamua kufichficha sura.
View attachment 16377View attachment 16376
Hata mwanangu wa miaka miwili anajua Lowasa ni fisadi.
Nilimuonesha jana kwenye TV.
Nikamuita: "mwanangu njoo uone fisadi kwenye TV". Akaja.
Hawa CCM tunawaweza. Ni suala la kuthubutu tu.
Jana mtoto wangu wa miaka mitano alirudi shuleni analia nikamuuliza kulikoni unalia akasema amechapwa shuleni kwa vile hajatoa mchango wa dawati, kwa kumtia machungu nikamwambia mbona hela nilimpa Lowassa aje kukulipia akanijibu Lowassa hajamuona akja shuleni. Leo wakati tunaangalia kuapishwa kwa Kikwete alipotelemka Lowassa nikamwonyesha YULEEEEE mwenye nywele nyeupe mtoto alikasirika sana. Najaribu kumtia machungu mtoto wangu ajue mapema mwizi wetu wa taifa ni nani.
:happy::happy:View attachment 16377View attachment 16376
Hata mwanangu wa miaka miwili anajua Lowasa ni fisadi.
Nilimuonesha jana kwenye TV.
Nikamuita: "mwanangu njoo uone fisadi kwenye TV". Akaja.
Hawa CCM tunawaweza. Ni suala la kuthubutu tu.