Elections 2010 Ni Wakati Wa Vitendo: Kadi Yangu ya Chadema Hii Hapa

Elections 2010 Ni Wakati Wa Vitendo: Kadi Yangu ya Chadema Hii Hapa

Si hicho tu.

Nadhani wanamageuzi wote nilazima tuanze kampeni sasa hivi.

Nitabeba Box kwa sana na kutumia sehemu ya kipato kupiga Semina ya makada wangu 70 kisha hao makada 70 watakwenda kufanya kazi nzito ya kujenga wanamageuzi 700 kila mwezi kwa mtindo wa 101 kwa muda wa miaka 5 au miezi 60. Muda wa kupiga kura ukifika ni lazima niwe na kura zisizo pungua 30,000 kwa Dr Slaa.

Kazi hapa ni kumshawishi Dr Slaa kugombea tena 2015.
 
hongera lakini mbona inarangi nyingi hivo..?
 
Hongera mzee. Ndivyo inavyotakiwa. Kwa kasi hiyo chama kitakuwa imara. Mimi nitafuata yangu j3.

kaka nami ntakuwepo j3. Ukiwa pale ukaona kjana mtanashati mwenye miwani maji ya kunde we sema tu habari za kampeni? Ntakuelewa,ntajua ni mr.balile,tutaongea kwa kirefu mkuu tukionana!
 
Quinine iyo msg yako kwa mtoto imenimalizaaa
 
nami nampango wakurudisha kadi za ccm na kuchukua yangu ya chadema!
-una kadi 50 za ccm? Fisadi mkubwa, umepiga kura mara 50 ya rais, mara 50 ya mbunge na mara 50 ya diwani.
 
Mkuu Ng'wanangwa
hongera kwa kuonyesha mfano hai.
Muda wa maneno umekwisha..ni kazi tuu ya mapambano hadi kuwaondoa hawa majambazi walioteka nchi yetu
 
hili niwazo zuri tulio wanachama wamaneno tukachukue kadi sasa,

kwa ukweli niwakati wa vitendo si maneno,

hichi chama ni chama makini

wana JF CHADEMA IKO JUU
 
Si hicho tu.

Nadhani wanamageuzi wote nilazima tuanze kampeni sasa hivi.

Nitabeba Box kwa sana na kutumia sehemu ya kipato kupiga Semina ya makada wangu 70 kisha hao makada 70 watakwenda kufanya kazi nzito ya kujenga wanamageuzi 700 kila mwezi kwa mtindo wa 101 kwa muda wa miaka 5 au miezi 60. Muda wa kupiga kura ukifika ni lazima niwe na kura zisizo pungua 30,000 kwa Dr Slaa.

Kazi hapa ni kumshawishi Dr Slaa kugombea tena 2015.


Kwa nini iwe kazi? Una wasiwasi atapandisjha Dau?
 
mkuu na mimi nataka hiyo kadi mpaka niende pale kinondoni?

mkakati wa uchaguzi wa 2015 unaanza sasa, kazi ni kufungua matawi ya chadema nchi nzima, down load katiba ya chadema tazama mnahitajika kuwa wanagaoi kuanzisha tawi, nunueni bendera anzisheni tawi na mjiunge katika mtandao wa matawi ya chadema katika eneo ulilopo. Hakuna kulala.

sehemu zote ambazo chadema imefanya vizuri katika uchaguzi yalikuwepo matawi na mashina ya chadema hivyo tuige mfano huo.
 
View attachment 16377View attachment 16376


Hata mwanangu wa miaka miwili anajua Lowasa ni fisadi.

Nilimuonesha jana kwenye TV.

Nikamuita: "mwanangu njoo uone fisadi kwenye TV". Akaja.

Hawa CCM tunawaweza. Ni suala la kuthubutu tu.

Mzee hongera. Kwa uchungu ulionao lazima tutaleta mabadiliko makubwa .... kwa pamoja.
Isipokuwa mkuu umenivunja mbavu ( cheki hiyo red )
 
Jana mtoto wangu wa miaka mitano alirudi shuleni analia nikamuuliza kulikoni unalia akasema amechapwa shuleni kwa vile hajatoa mchango wa dawati, kwa kumtia machungu nikamwambia mbona hela nilimpa Lowassa aje kukulipia akanijibu Lowassa hajamuona akja shuleni. Leo wakati tunaangalia kuapishwa kwa Kikwete alipotelemka Lowassa nikamwonyesha YULEEEEE mwenye nywele nyeupe mtoto alikasirika sana. Najaribu kumtia machungu mtoto wangu ajue mapema mwizi wetu wa taifa ni nani.

Mzee hapa umewakilisha ipasavo... nimecheka sana, lakini ujumbe ndio huo. watoto wanaamini sana wazazi...zamani walkua wanaamini mtu mzima yeyote. tangu ufisadi umeanza wanaamini wazazi tu (hata wa mafisadi wanawaamini ndo mana ata kwny kura wanawasapoti kutafuta). SASA HILO JAMBO, WOTE TUWAAMINISHE WATOTO WETU KUHUSU WEZI HAWA, NA WAWACHUKUE WAO NA VIZAZI VYAO....
 
Back
Top Bottom