Ni wakati wake huu

IamTheMan

Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
48
Reaction score
60
With all respect to Ali Kiba na fans wake ila ukweli lazma usemwe Ali hawezi enda toe to toe na Diamond yaani hata CMG wambebe vipi tena waongezeke na East Africa radio +media nyingine ziongeze extra help bado hatoweza gusa mziki wa Diamond , this kid is something else ana massive hits zilizosumbua Africa sio Tz tu, Nana was a smashing hit ilichezwa Tv stations+radio stations karibia zote Africa, huu ni wakati wake na watu inabidi wakubali mpaka pale atakapokuja tokea another kid mwenye talent na juhudi kuja kupambana nae ila sio Ali Kiba.

i'm trying to be honest sina u-team, kwenye ukweli inabidi tuseme jamanii
 
Hivi kwanini Diamond akienda mara kwa mara clouds hamsemi anabebwa ila wakienda wengine nongwa?

Wengi mnaona tu ile alikiba kushinda clouds Siku nzima ni kubebwa ila hamuoni Fursa ambayo clouds wamepata ya kubeba matangazo ya MoFaya!

Clouds wanajua sana kucheza na akili za Wabongo Na wanafanikiwa.....
 
Diamond wakati anatafuta alikua hana swaga lkn huyu bwana yooooo mcheza mpira kutafuta kwenyewe hawezi kwa mwaka nyimbo moja lkn swaga kibao na kubinua midomo yaani anaboa mpaka basi... unawezaje kushindana na domo wakati upo.bize kucheza mpira wakati mwenzake anakesha studio na kutafuta kolabo!!.. huyu jamaa bana aagh!
 
Mie sio mtu wa burudani ila naungana na wewe mkuu. Kiba afanye mziki kama burudani lakini sio kushindana na Diamond.
Hivi inawezekana watu wote tukapenda muziki wa mtu mmoja!?acheni ujinga!...hiyo haipo dunia nzima toka zamani wanamuziki walikuwa wanagawana mashabiki!
 
Hivi inawezekana watu wote tukapenda muziki wa mtu mmoja!?acheni ujinga!...hiyo haipo dunia nzima toka zamani wanamuziki walikuwa wanagawana mashabiki!

Nimeshaacha ujinga mkuu. Sijasema asifanye mziki. Uwezo na mamlaka hayo sina. Nilichosema, afanye mziki kama burudani.
 
Mie sio mtu wa burudani ila naungana na wewe mkuu. Kiba afanye mziki kama burudani lakini sio kushindana na Diamond.
Mbona wamlisha maneno Kiba mkuu ""? kwani alipokwenda kuzindua ile nyimbo alisem kuwa anashindana na diamond...hivi inaingia akilini " kweli mtu aache kufnya project zake "" kisa tu ataonekana anashindana na mtu ""wabongo tunauwezo finyu sana wakuchakata mambo " kwakutumia akili Yetu ""
 
Hivi inawezekana watu wote tukapenda muziki wa mtu mmoja!?acheni ujinga!...hiyo haipo dunia nzima toka zamani wanamuziki walikuwa wanagawana mashabiki!
Hakuna aliyekatazwa kupenda muziki wa msanii mwingine but hapa tunaongele competition iliyopandikizwa tangu muda
 

come on Ngushi matangazo anaweza peleka hata times theres something fishy inaendelea open your eyes hahahah
 

Ahsante mkubwa, mie akili yangu finyu kuchakata mambo. Lakini inaweza kuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…