IamTheMan
Member
- Apr 20, 2018
- 48
- 60
With all respect to Ali Kiba na fans wake ila ukweli lazma usemwe Ali hawezi enda toe to toe na Diamond yaani hata CMG wambebe vipi tena waongezeke na East Africa radio +media nyingine ziongeze extra help bado hatoweza gusa mziki wa Diamond , this kid is something else ana massive hits zilizosumbua Africa sio Tz tu, Nana was a smashing hit ilichezwa Tv stations+radio stations karibia zote Africa, huu ni wakati wake na watu inabidi wakubali mpaka pale atakapokuja tokea another kid mwenye talent na juhudi kuja kupambana nae ila sio Ali Kiba.
i'm trying to be honest sina u-team, kwenye ukweli inabidi tuseme jamanii
i'm trying to be honest sina u-team, kwenye ukweli inabidi tuseme jamanii