Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Tunashukuru kwa kutupatia pesa za Muungano nusu kwa nusu na Tanzania. Ubarikiwe sana na tunaomba uendelee kubaki madarakani kwa kipindi kirefu.
Kuna mambo mengine pia tunataka. Utupatie magari ya mwendo kasi, Train ya SGR iweze kuzunguka miji yote. Pia utujengee madaraja kama ya Ubungo na Tazara.
Miaka mingi Wabara wamekuwa wakijiangalia wenyewe tu. Sasa ni wakati wa kuimarisha Zanzibar.
Pesa ambayo ilikuwa itumike kwenye Sherehe ya Uburu December pia tunaomba tugawanane nusu kwa nusu.
Sijajua kwenye Mei Mosi umejiandaa kufanyaje ila mama tunaomba kwa sasa tuishi kwa kushirikiana. Sisi tumenyonywa sana. Miaka yote Wabara wanajiangalia wao tu.
Kumbuka pia nasi tunahitaji Lami miji yote,kiwanja kikubwa cha kimataifa cha mpira, uwanja wa ndege wa kimataifa,bandari kubwa ya kisasa n.k
Tumeonewa sana. Sasa ni wakati wa Make Zanzibar Great Again. MAZAGA. Mungu Ibariki Africa, Mungu ibariki zanzibar.
Tupo pamoja. Na hatutakuacha mpweke.