Ni Wapumbavu fulani hivi wasiojua hata katiba inasemaje juu ya jambo hilo.Tunapozungumzia tunahitaji katiba mpya hiyo mijitu ndio ilikuwa ya kwanza kupinga halafu yalipotokea wakawa wanataka kipengele hicho cha raisi akifia madarakani kipuuzwe.Nadhani hapo ndio tungeshuhudia damu ikimwagika mitaani ikihusisha imani za kidini kwa wengine kuona wamenyang'anywa tonge lao.
Niliwahi kusoma maoni ya wamarekani mojawapo wa kitu kilichomfanya Obama kushinda dhidi ya McCain uchaguzi wa 2008.Sababu mojawapo ni McCain running mate wake Sarah Palin hakufaa kuwa makamu wa Raisi na hatimaye kuwa raisi kama McCain atafariki kutokana na Afya yake kuwa mgogoro.Hivyo wenzetu wanapochagua Raisi wanaangalia na Mgombea mwenza wake kama ana sifa ya Uraisi ikitokea Raisi amefia madarakani. Sasa sisi hatujali tunaangalia mgombea Uraisi peke yake halafu akifa ndio mnataka katiba ipuuzwe kwa kumuona aliyekuwa mgombe mwenza wake hafai kwa uraisi ,badala ya kufanya maamuzi wakati wa mchakato wa uchaguzi kuona kama na mgombea mwenza ni presidential material ama la
WENZETU WALIWAONA HIVI WAGOMBEA WENZA WA OBAMA NA McCAIN
Joe Biden vs. Sarah Palin
Joe Biden's deep grasp of the issues, appreciation of U.S. history and laws, and steady, experienced leadership were in jarring contrast to that of Alaska Gov. Sarah Palin, the Republican vice-presidential candidate.
Republican nominee, 72-year-old John McCain, has wrestled with three episodes of melanoma, the most aggressive form of skin cancer, and had an in-depth skin cancer check every few months.
McCain's serious health challenges greatly increased the risk that he could become incapacitated and/or pass away in office, which would have required his vice president to become president of the United States.
It was widely recognized, even by a plethora of conservative pundits, that Sarah Palin was wholly unprepared to assume the presidency.
In contrast, Joe Biden was widely regarded as well prepared to assume the presidency.