Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mambo mengine yatupite jamani maisha yanaendelea hakuna sababu ya kurudi ya nyuma tena.Awali akina Lisu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.
Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais
Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?
Na amewathibitishia walichokua wanakiamini sasa π€£ π€£Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Mbona hatujasikia hayo kwenye clip ya mabeho. Kama unamuwekea maneno vinginevyo tuwekee hiyo clip na sisi tusikie hayo unadai kasema.Awali akina Lisu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.
Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais
Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?
Dr Bashiru Ally siku ikimpendeza aseme ukweli wake wa moyoni.....na CDF Mstaafu amalizie....tufunge mjadala...watu hao wawili wana siri nzito sana!!Awali akina Lisu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.
Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais
Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?
π πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNa amewathibitishia walichokua wanakiamini sasa π€£ π€£
Katiba inasemaje, walipompitisha kuwa mgombea mwenza hawakujua kuwa raisi anaweza kufa akiwa madarakani.Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Sema kitu Dr bwana π€£π πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Umeguswa eeeeeehTatizo la Tanzania kila kada inaongea kama Wanasiasa
Katiba ina mambo mengi sana Ambayo yanahitaji kubadilishwa mkuu Kumbuka katiba hii iliyopo ni katiba iliyopitishwa Kipindi Tanzania ikiwa ni Nchi ya Chama kimoja mwaka 1977..Katiba inasemaje, walipompitisha kuwa mgombea mwenza hawakujua kuwa raisi anaweza kufa akiwa madarakani.
Kwan hawakujua katiba inasemaje? Pindi anwpoteuliwa kuwa makamu wa Rais?Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Soma #16Kwan hawakujua katiba inasemaje? Pindi anwpoteuliwa kuwa makamu wa Rais?
ππππUmeguswa eeeeeeh
January makamba!Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.