Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
. Sawa shorobaro wa dar.Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu
Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni mwanaume mchafu!
Kama huwezi hata kuwa na perfume zaidi ya tatu ghetto wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya shuka na hata taulo huna wewe ni mchafu!
Kama unatumia mikono kufuta kamasi wewe ni mchafu!
Kama nywele zako huwezi kugharamia hata tsh 30000 kwa mwezi wewe ni mchafu!
Team wachafu njoeni mtoe mapovu[emoji23]
Hivi ulivyotaja hapa walio navyo hawazidi 20.
Sabuni tu za kuongea wanatumia B29 za sh 300 zile tunaosheaga vyombo.
Povu...karibu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maajabu ni kwamba Mwanaume ukiwa msafi au unajipenda sana wengine wanakuita Shoga.
Mwanaume awe na boxer nyingi za nini? Kwani ana bleed. Mwanaume boxer mbili tu. Moja ikiwa kambani inakauka nyingine iko mwilini. [emoji664]Mi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi
Duh yani hata nisipokuwa na perfume mimi ni mchafu?
Basi mimi mchafu.
NakaziaDuh yani hata nisipokuwa na perfume mimi ni mchafu?
Basi mimi mchafu.
Poa tu, kwani unateseka?Nakazia
Wewe mchafu
Uchafu wako niteseke MimiPoa tu, kwani unateseka?
Mi ndio naogea jamaa na sioni shida maisha ni kuchaguaHivi ulivyotaja hapa walio navyo hawazidi 20.
Sabuni tu za kuongea wanatumia B29 za sh 300 zile tunaosheaga vyombo.
Povu...karibu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaa[emoji3][emoji3]
Sidhani kama utapata mchafu
Wanaume wa sayari ya jf wote wasafi
Hahahaha aseee umenichokaAlafu inaonekana unavaa zile tight za kariakoo 3000 za waogeleaji [emoji23][emoji23][emoji23]hivi mnabanaga nini??