Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Aisee wakati buku mbili au tatu unanyoa safi tu yeye hiyo 30000 yote ya nini?
Anaenda barbershop zaidi ya mara mbili kwa mwezi si unajua bei za barbershop za town kuna mambo mengi mengi
 
Vitu vyote ulivyoelezea not necessary hasa Perfume.. Nchi ya viwanda tutasubiri sana..
 
Aisee wakati buku mbili au tatu unanyoa safi tu yeye hiyo 30000 yote ya nini?
Sijazungumzia kuhusu kunyoa,ni kuhusu kutunza nyweli ndio maana ulipata dv 0[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom