Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Washamba nahao wanao mnyooshea eti shoga ndiyo hao wachafuMaajabu ni kwamba Mwanaume ukiwa msafi au unajipenda sana wengine wanakuita Shoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washamba nahao wanao mnyooshea eti shoga ndiyo hao wachafuMaajabu ni kwamba Mwanaume ukiwa msafi au unajipenda sana wengine wanakuita Shoga.
Wanaogea mpaka Omo tena zile zakufunga [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi ulivyotaja hapa walio navyo hawazidi 20.
Sabuni tu za kuongea wanatumia B29 za sh 300 zile tunaosheaga vyombo.
Povu...karibu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji818] [emoji736] kwanguo za ndani duu mtihani na siku hizi wanavyo vyaa kata k, jamani jamani hizo boxer ni mara mia dekio langu la nyumbaniMi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi
Anaenda barbershop zaidi ya mara mbili kwa mwezi si unajua bei za barbershop za town kuna mambo mengi mengi
Sijazungumzia kuhusu kunyoa,ni kuhusu kutunza nyweli ndio maana ulipata dv 0[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata cha elfu 1 kutoa ile harufu ya ubeberu [emoji1] [emoji1] [emoji1] (joking)Duh yani hata nisipokuwa na perfume mimi ni mchafu?
Basi mimi mchafu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]30,000/= unanyoa vu** la mk****? Acha ujinga
Tatizo muda wakufua upo ?Mwanaume awe na boxer nyingi za nini? Kwani ana bleed. Mwanaume boxer mbili tu. Moja ikiwa kambani inakauka nyingine iko mwilini. [emoji664]
[emoji2]Mimi nina allergy na hizo body sprays na perfumes, sizitumii na sinuki majasho. Bado mnaniita mchafu? Sio haki asee
[emoji40] [emoji40] [emoji40] utazani samaki wa juziUnakutaa mtu akivuaa kwenye pachu pachu kumechacha balaaaa aaaaaagh[emoji40][emoji40]
Hayo yote uliyoyataja yanaweza kufanywa na vibenten tu na kina James DeliciousKama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu
Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni mwanaume mchafu!
Kama huwezi hata kuwa na perfume zaidi ya tatu ghetto wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya shuka na hata taulo huna wewe ni mchafu!
Kama unatumia mikono kufuta kamasi wewe ni mchafu!
Kama nywele zako huwezi kugharamia hata tsh 30000 kwa mwezi wewe ni mchafu!
Team wachafu njoeni mtoe mapovu[emoji23]
Kwani sheria za nchi zinakataza?Je mwanaume wanao oga mara moja nayo je?
Mwanaume wa kweli hata perfume hukumbushwa na mkewe kupiga sembuse hizo tatu unataka kuanzisha duka la cosmetics ?Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu
Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni mwanaume mchafu!
Kama huwezi hata kuwa na perfume zaidi ya tatu ghetto wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya shuka na hata taulo huna wewe ni mchafu!
Kama unatumia mikono kufuta kamasi wewe ni mchafu!
Kama nywele zako huwezi kugharamia hata tsh 30000 kwa mwezi wewe ni mchafu!
Team wachafu njoeni mtoe mapovu[emoji23]
Hapo bado rastasi ndio hapo sasa,utamtofautishaje na dada zetu ?
maana wao kusuka tu 25000
[emoji23] [emoji23] used from UK mkuukama unauza simu used, wewe ni mchafu