Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Kuna Mshkaji ni Workmate yaani mshahara sio mkubwa ila ukiingiaga hapohapo anatenga hela ya kutosha anampigia mke wake wanaenda kununua misosi sokoni, na mara nyingi ananunua perfume na mafuta ya gharama utasema Big boss flan...

Ukipishana naye ananukia fresh kinoma...ama mke wake na hadi watoto unaona wamekaaga poa tu muda wote...vinang'aa

Ila kwny story na washkaji wengine utasikia Mwanaume utanukiaje perfume vile...au choko?

Sisi wabongo bana...!
Wapuuzi hao
 
Wabongo buana
 
Hivi ulivyotaja hapa walio navyo hawazidi 20.

Sabuni tu za kuongea wanatumia B29 za sh 300 zile tunaosheaga vyombo.

Povu...karibu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]hamna povu hapo nahisi hii comment inanihusu 100%

NB: mi ni handsome sana jaman ila naogea sabuni ya POA ya 200
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna mahali nimeongelea kujikwatua lakini.

Note that.
Unajua tofauti ya kujipenda na kujikwatua? Unamkuta kijana wa daslam nywele ina pico, sikio lina hereni, nyusi zimetindwa, uso una poda, lips zinameremeta, ulimi unakihereni, kuna jino la silver/gold, Huku sio kujipenda ni kujikwatua.
 
aiseee! 30000???!!!
hahahah kumbe mi mchafu kinomanoma!
 
Hii ni hasara

Mwanaume kujiangalia hivyo,kuna Walakini!!!

 
kwahiyo kichwa elfu 30 kwa mwezi ,umeweka wigi au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…