Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Hongera Mkuu.Niko vizuri,sina tatizo lolote la kiafya mkuu.situmii njugu
Hongera Mkuu.Niko vizuri,sina tatizo lolote la kiafya mkuu.situmii njugu
Hapana usiseme hivyo,labda anafanya research fulani,anatafuta majibu humuIla Africa kuna shida sana.
Hivi ni sifa kutembea na idadi yote hiyo ya wanawake?
Bila kuwapotezea muda na mambo ya salamu.
Nitaanza mimi.
Wanawake na makabila yao niliyowahi kuwala ni kama ifuatavyo
Wakinga 15
Wapare 12
Wanyakyusa 10
Wachaga 09
Wahaya 06
Wasukuma 05
Wahehe 04
Wabena 04
Wanyamwezi 02
Wameru 01
Wagogo 01
Wangoni 01
Mkenya 01
Mzungu 01
Mwarabu 01
Mzambia 01
Tena kwa wale wakingaAkapime STD’s hawezi kuwa hajaokota hata kwa mmoja.