Ni wanawake wote wanafika kileleni kwa kurusha au kutoa maji mengi?

Kuna baadhi ya wanawake hawajawahi kurusha maji mpk wamefikia utu uzima! na kuna baadhi ya wanaume hawajawahi kumkojoza mwanamke kwa kiwango hicho mpk wamekua watu wazima!
We ulishawai kusikia mwanamke kakupagawisha ukabaki kulia kama ng'ombe😆
 
Wapo ambao hata umatemate tu ni tatizo, yaani hata ule utelezi tu wa kawaida ni tatizo. Na hata akiutoa basi ni mda mfupi tu anakuwa dry. Usiombe kukutana na kiumbe wa hivi.
 
Wapo ambao hata umatemate tu ni tatizo, yaani hata ule utelezi tu wa kawaida ni tatizo. Na hata akiutoa basi ni mda mfupi tu anakuwa dry. Usiombe kukutana na kiumbe wa hivi.
Ukweli ni wanawake wanatofautiana kubali/kataa
 
wanawake ni waigizaji wazuri sana,,,,,,we tafuta hela tu mkuu utaoneshwa mengi
 
wanawake wanaofika kwa namna iyo ni wale tu waliojiachia/relax kwenye shughuli hiyo wale waliopeleka mind yote pale na wale ambao hawawazi kingine ila hicho. na hiyo ndiyo inatakiwa kwa kila mwanamke.
 
Imekaa kitaalam sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…