Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ila si wote watateswa na njaa kwa usawa mwanangu. Vipi wanaokufa bila kuwa na uwezo wa kula hasa vichanga na mimba?Kitu kinaitwa njaa.
Hujaelewa point hapo,Ila si wote watateswa na njaa kwa usawa mwanangu. Vipi wanaokufa bila kuwa na uwezo wa kula hasa vichanga na mimba?
Nmeelewa. We ndo hujaelewa. Kifo kinawagusa wote lakini siyo njaa hasa ukizingatia kuwa mimba zinazonyofolewa huwa hazihitaji chakula wala kuhisi njaa. Angalau ungesema kuwa mimba, kwani hakuna anayeweza kuitwa kiumbe bila kuwa mimba au yai au chochote kwenye level hiyo mwanangu.Hujaelewa point hapo,
Issue ni kwamba,Binadamu wote tunahitaji chakula ili tuishi.
Una akili nzito sana aisee,Bila shaka ulimsumbua sana Mwalimu wako darasani,Nmeelewa. We ndo hujaelewa. Kifo kinawagusa wote lakini siyo njaa hasa ukizingatia kuwa mimba zinazonyofolewa huwa hazihitaji chakula wala kuhisi njaa. Angalau ungesema kuwa mimba, kwani hakuna anayeweza kuitwa kiumbe bila kuwa mimba au yai au chochote kwenye level hiyo mwanangu.
Heri akili nzito kuliko uzito kiakili kama wako. Kama mimba haijaja duniani, inakuwaje zikinyofolewa zinaokotwa duniani mwanangu?Una akili nzito sana aisee,Bila shaka ulimsumbua sana Mwalimu wako darasani,
Mimba ni kiumbe ambacho bado hakijaja Duniani,au huelewi hata mada yako ina husu nini?
How? Can you please explain while, for me, life and death are equally important.Kifo ni technical mistake.
Huna akili wewe,Heri akili nzito kuliko uzito kiakili kama wako. Kama mimba haijaja duniani, inakuwaje zikinyofolewa zinaokotwa duniani mwanangu?
Walikula tumboni mwa mama zao.Ila si wote watateswa na njaa kwa usawa mwanangu. Vipi wanaokufa bila kuwa na uwezo wa kula hasa vichanga na mimba?
Matusi ya nini kama kweli wewe una akili? Sikujua najibishana na chizi na zwazwa.Huna akili wewe,
Ngoja nikuacha na mada yako.
Matusi yako wapi hapo?Matusi ya nini kama kweli wewe una akili? Sikujua najibishana na chizi na zwazwa.
Sikujua kuwa wewe ni bwabwa na zwazwa ambaye huyo mama yako alikuziniii na kumbambikizia baba yako maskini.Matusi yako wapi hapo?
Zwazwa mamako
Mimi ndio Babako sema mamako anakuficha tu,Sikujua kuwa wewe ni bwabwa na zwazwa ambaye huyo mama yako alikuziniii na kumbambikizia baba yako maskini.
Huwa sipotezi muda na wanaharamu ambao hata hawajui baba zao ni nani. Wewe ni sawa na manonihino ya mbwa achia mbali ya binadamu. Una kila dalili za useeenge na unatafuta bwanaaa.Mimi ndio Babako sema mamako anakuficha tu,
Unakimbilia kuanzisha uzi wakati wewe mwenyewe hata hujui uzi unahusu nini!
Ungekua na akili timamu huwezi kusema ''Mimba zikinyofolewa zinakutwa Duniani'' hapo mimba imenyofolewa ndio ikaja Duniani na ndio maana ikakutwa Duniani,kiumbe huhesabiwa baada ya kuzaliwa,
Ingekua watu wote wana akili za kijinga kama wewe basi umri wa mtoto usingekua unahesabiwa baada ya kuzaliwa,umri ungekua unahesabiwa baada ya mimba kutungwa tu,
Ndio maana nakwambia huna akili.