Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Nenda manzese darajani pale juu.
nadhani ntafanyia kazi hili, ingawa target yangu ni sehemu nayoweza kuplug socket adopterNenda kigamboni kwenye daraja jipya!
Kuna siku nilienda nikakuta vinyesi vya mbwa.Mkuu unaweza kwenda UDSM kuna garden nzuri tu unaweza kwenda pale na pako free..
hapana hyo n ya masaki nazani