Ni wapi hapa Dar naweza kwenda kukaa tu na Laptop yangu bila kununua chochote?

Ni wapi hapa Dar naweza kwenda kukaa tu na Laptop yangu bila kununua chochote?

pia unaweza kwenda pale kwenye Garden mbele ya benki ya NBC posta pako vizuri,ila mchana kuna kijua,jioni pako vizuri na upepo wa bahari..
Pia palm beach hotel, ile junction ya ocean road kuna ka garden pale!
 
Kuna watu wastaarabu kama kina afebris wengine mnazingua..mtu anauliza la msingi afe too much joking
Bora ungemwonesha wew sehem nzur ya kupumzika kuliko kuandika hiki ulicho kiandika!
 
Very simple! nenda hapo Rugalo kuna garden nzuri iko poa sana. kuna watu tuu wanaitunza wapo mda wote watakukaribisha vzr sana tena kwa ukarimu mkubwa wa kitanzania na uta-enjoy sana
 
Very simple! nenda hapo Rugalo kuna garden nzuri iko poa sana. kuna watu tuu wanaitunza wapo mda wote watakukaribisha vzr sana tena kwa ukarimu mkubwa wa kitanzania na uta-enjoy sana
Lugalo mkuu kama na mimi sijakosea
 
Ndugu yangu sehem isiyo na bughdha ni nyumbani Kwako tu,
Sehem zote unazoelekezwa ni sehemu za biashara za watu, itawezekana vipi ukae bila kuingiza chochote? Sehem utakuta wamefunga kiyoyozi unataka socket uchomeke chaji ya laptop yako, hivi nchi gani hapa duniani iko hivyo? Labda ukaishi ulimwengu wa kwanza tu
 
kuna sehemu moja ipo eneo la kisukuru ukitokea maji chumvi huwa kila nikipita nakuta watu wengi wamesimama na laptop au simu wanafanya surfing nadhan pale panafaa sana maana unapata net ya chuo bure, pia ni public area kwa maana ni barabarani hivyo hakuna gharama yeyote. Angalizo: be careful kwa housegirls na mabinti hasa graduands wa vyuo.
 
Ndugu yangu sehem isiyo na bughdha ni nyumbani Kwako tu,
Sehem zote unazoelekezwa ni sehemu za biashara za watu, itawezekana vipi ukae bila kuingiza chochote? Sehem utakuta wamefunga kiyoyozi unataka socket uchomeke chaji ya laptop yako, hivi nchi gani hapa duniani iko hivyo? Labda ukaishi ulimwengu wa kwanza tu

Mkuu,nchi za wenzetu mbona ni kitu cha kawaida,kuna sehemu zina offer free wifi na socket kama ‘The Centre of Now,’Dubai pia katika malls ziko free...
 
Mkuu,nchi za wenzetu mbona ni kitu cha kawaida,kuna sehemu zina offer free wifi na socket kama ‘The Centre of Now,’Dubai pia katika malls ziko free...
Yes Ndio maana nimekwambia hayo yapo nchi za ulimwengu wa kwanza, sio hapa kwetu,
 
Wadau,

Leo mwenzenu sina ratiba kabisa. Nauliza kama hapa Dar kuna eneo mtu anaweza kwenda either na Laptop yake kwaajili ya ku buy time/hang around bila gharama yoyote kama vile kununua vinywaji, chakula au kubugudhiwa na wahudumu kwamba eneo hilo sio ofisi? inaweza kuwa ni Public Resting Area, Hall etc. (such places are common in Nairobi and in Europe).

Nawakilisha.
nenda COSTECH pale sayansi kuna sehemu ya watu ya matumizi ya computer utapata na internet ya bure, cha msingi uwe na kitambulisho. pia waweza kwenda moroco kuna jengo linaitwa conservation nenda ghorofa ya kwanza au ulizia KINU space napo ni innovation space kuna internet ya bure pia, cha mingi kuwa mstarabu tu, hapo utapata hadi coffee ya bure.
 
Kwenye vituo vyote vya daladala hulazimishwi kununu chochote!
 
Back
Top Bottom