Feni05
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 290
- 236
iko diamond plaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iko diamond plaza
Pia palm beach hotel, ile junction ya ocean road kuna ka garden pale!pia unaweza kwenda pale kwenye Garden mbele ya benki ya NBC posta pako vizuri,ila mchana kuna kijua,jioni pako vizuri na upepo wa bahari..
Bora ungemwonesha wew sehem nzur ya kupumzika kuliko kuandika hiki ulicho kiandika!Kuna watu wastaarabu kama kina afebris wengine mnazingua..mtu anauliza la msingi afe too much joking
Hahaaaa watamchomoa hiyo pcCocobeach
Lugalo mkuu kama na mimi sijakoseaVery simple! nenda hapo Rugalo kuna garden nzuri iko poa sana. kuna watu tuu wanaitunza wapo mda wote watakukaribisha vzr sana tena kwa ukarimu mkubwa wa kitanzania na uta-enjoy sana
IFMZama vimbweta vyovyote...ufsm,imf au bibo hostel
Yeah nilichapia kidogo..asante
KaribuYeah nilichapia kidogo..asante
Nenda Oysterbay shopping centre.nadhani ntafanyia kazi hili, ingawa target yangu ni sehemu nayoweza kuplug socket adopter
Ndugu yangu sehem isiyo na bughdha ni nyumbani Kwako tu,
Sehem zote unazoelekezwa ni sehemu za biashara za watu, itawezekana vipi ukae bila kuingiza chochote? Sehem utakuta wamefunga kiyoyozi unataka socket uchomeke chaji ya laptop yako, hivi nchi gani hapa duniani iko hivyo? Labda ukaishi ulimwengu wa kwanza tu
Yes Ndio maana nimekwambia hayo yapo nchi za ulimwengu wa kwanza, sio hapa kwetu,Mkuu,nchi za wenzetu mbona ni kitu cha kawaida,kuna sehemu zina offer free wifi na socket kama ‘The Centre of Now,’Dubai pia katika malls ziko free...
nenda COSTECH pale sayansi kuna sehemu ya watu ya matumizi ya computer utapata na internet ya bure, cha msingi uwe na kitambulisho. pia waweza kwenda moroco kuna jengo linaitwa conservation nenda ghorofa ya kwanza au ulizia KINU space napo ni innovation space kuna internet ya bure pia, cha mingi kuwa mstarabu tu, hapo utapata hadi coffee ya bure.Wadau,
Leo mwenzenu sina ratiba kabisa. Nauliza kama hapa Dar kuna eneo mtu anaweza kwenda either na Laptop yake kwaajili ya ku buy time/hang around bila gharama yoyote kama vile kununua vinywaji, chakula au kubugudhiwa na wahudumu kwamba eneo hilo sio ofisi? inaweza kuwa ni Public Resting Area, Hall etc. (such places are common in Nairobi and in Europe).
Nawakilisha.