Ni wapi kuna Yoga Studio?

Ni wapi kuna Yoga Studio?

mboni3

Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
23
Reaction score
15
Hello Wadau wa Jamii Forum,

Natumai mko poa, ningependa kufahamu kwa yeyote anayefahamu ni sehemu ambayo naweza shiriki YOGA.

So far nimepata moja amabayo iko Haile Selassie. Nahitaji machaguo kadhaa kabla sijafanya maamuzi
kwa yeyote mwenye kufahamu ama mwenye uzoefu na YOGA tafadhali usisite kunifahmisha.

Ahsante.
 
Naifahamu yoga vyema kabisa.
 
Hello Wadau wa Jamii Forum,
Natumai mko poa,ningependa kufahamu kwa yeyote anayefahamu ni sehemu ambayo naweza shiriki YOGA .
So far nimepata moja amabayo iko Haile Selassie.
Nahitaji machaguo kadhaa kabla sijafanya maamuzi
kwa yeyote mwenye kufahamu ama mwenye uzoefu na YOGA tafadhali usisite kunifahmisha .
Ahsante
Kabla ya kuanza yoga ielewe vizuri. Research kuhusu KUNDALINI spirits. Yogis wengi wanaingiaga tu bila kujua.
 
Kabla ya kuanza yoga ielewe vizuri. Research kuhusu KUNDALINI spirits. Yogis wengi wanaingiaga tu bila kujua.
Sure I will.
but for the start nahitaji kwa nia ya mazoezi tiba
Aint not sure if its necessary for me to go that deep
 
Back
Top Bottom