mboni3
Member
- Sep 28, 2017
- 23
- 15
Hello Wadau wa Jamii Forum,
Natumai mko poa, ningependa kufahamu kwa yeyote anayefahamu ni sehemu ambayo naweza shiriki YOGA.
So far nimepata moja amabayo iko Haile Selassie. Nahitaji machaguo kadhaa kabla sijafanya maamuzi
kwa yeyote mwenye kufahamu ama mwenye uzoefu na YOGA tafadhali usisite kunifahmisha.
Ahsante.