Ni wapi mahala sahihi ku-enjoy na mpenzi?

Ni wapi mahala sahihi ku-enjoy na mpenzi?

[emoji23]yupo serious ndio,mimi mara kadhaa nimewahi kutoka out na rafiki yangu wa kike na tuka spend kama 30000 tu
inategemea na mwanamke,kuna wanawake unampeleka kula anaagiza msosi wa buku tano,juice glass mbili tu ameshiba hataki kingine
See...! Sasa watu 70k yangu wanaiona ndogo, afu mrembo hana mambo mengi kabisa....
 
Habari waungwana,

Ebana mimi nataka kujua, kufahamishwa sehemu nzuri hapa mjini Dar es salaam za kutoka na mpenzi wangu na akafurahia ambapo kuna usalama zaidi n.k.

Badget yangu ni TZS 70000
[emoji3577][emoji6]
Kaka hela ni nyingi na chenji inabaki. Nenda south beach au Kijiji beach
NB: Kama ni mpenzi kweli sio malaya.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Unanipa confidence mkuu, huyu bidada ni mwanamke sahihi sio danga/wanawake wa tabia za mjini...
kama yupo hivo utapewa tu chimbo na wana na mtarudi na chenchi,kwa mikoani huku four star hotels soda moja buku au buku jero,kuna chips kavu buku tatu.Dar sijajua gharama ni vipi
 
Beach gani ni nzuri ambayo kuna usalama na chakula (dinner) tu...kwa badget yangu yaani kiingilio, chakula n.k ..!?
Usiwaze kwenda beach hotels wala hio pesa ni ya mbuzi wa kawaida tu wa kufanyia hakika ya mtoto😂!

Mpeleke demu wako Mlimani akale chips KFC pale inatosha chenchi iliobakia nipigie nikufate na kukupelekeni Lodge ya 25K chimbo mkamalizane walau utabakia na hela ya uchakavu ya kumpa asubuhi!

Ukijifanya kumpeleka bar classic za ufukweni na kama ni mnywaji mzuri utafurahia show. Bia local 6K imported 9K utajua hujui!😂!

Hapo bado hajala plate ya 22K unaweza ukapata simu ya mgonjwa ghafla😅 ukamuaga!
 
Wasikutishe 70 K mbona ni hela ya kutosha wakati wengine hapa wanatumia 30?
Hahahaha elfu 70 hela ya kutosha eeh? 😅 Mkuu una date na mwanafunzi wa sekondari nini? Kwa mwanafunzi wa sekondari hana matumizi zaidi ya chips kuku na soda hata pombe haijui.

Kwa mbandika kucha na kope wa daslamu hio hela nusu mnaweza mkaiacha kwenye vyakula tu na vinywaji tena soft drinks tu maana akiagiza mchupa wa wine tu kichwa lazma kiume, ukijumlisha na usafiri na gharama za lodge imeisha!

Unaamka Pumbu as charged!
 
Ni mpenzi chief...
Kigamboni au sio najua bolt itqnifikisha, Entrance imekaaje + Chakula lunch..!? labda na vinywaji kama soda au juice...
Kama ni mpenzi wako kweli huwa wako concerned na matumizi ya hela hatakukomoa😅 mtakula vitu basic tu na uzuri sehemu mnaweza enda ya kiwango cha kati sio expensive sana. Kigamboni zipo zipo njia ya kuelekea Kibada ile
 
Hahahaha elfu 70 hela ya kutosha eeh? [emoji28] Mkuu una date na mwanafunzi wa sekondari nini? Kwa mwanafunzi wa sekondari hana matumizi zaidi ya chips kuku na soda hata pombe haijui.

Kwa mbandika kucha na kope wa daslamu hio hela nusu mnaweza mkaiacha kwenye vyakula tu na vinywaji tena soft drinks tu maana akiagiza mchupa wa wine tu kichwa lazma kiume, ukijumlisha na usafiri na gharama za lodge imeisha!

Unaamka Pumbu as charged!
Labda mi sijaelewa kasema usafiri anao ni kula na kunywa afu anaenda kulala kwake au sijaelewa?
 
Labda mi sijaelewa kasema usafiri anao ni kula na kunywa afu anaenda kulala kwake au sijaelewa?
Sehemu tulivu yenye usalama si lodge au? Utamtoa mwanamke out af ukamlaze tena kwako?😅

Huyo amemaanisha outing na kulala ambapo ni lodge tu.
 
Ila haya mambo yanatumia hela kinyama sie huwa tuna utaratbu wa kusafiri haawa kwenye sikukuu yaani mfano tunaeza toka dar kwenda mwanza ama arusha kwa siku kama saba yaani mpunga unatembea aseee
Si mnafurahia maisha lakini! Ndio kazi ya pesa hio hata mie ikifika time ntakuwa bata nazisafiria tu.

Hela tamu ikiwepo ya kutosha, makes life very comfortable stress ndogo ndogo hupotea kabisa 😅
 
Si mnafurahia maisha lakini! Ndio kazi ya pesa hio hata mie ikifika time ntakuwa bata nazisafiria tu.

Hela tamu ikiwepo ya kutosha, makes life very comfortable stress ndogo ndogo hupotea kabisa [emoji28]
Yeah,but hela isiwe ya mawazo utaenjoy sana
Sema mshikaji wanamsakama anaweza akahairisha mtoko nimekuja kumtetea nawe umenitoa nduki,you can't be serious dude
 
Back
Top Bottom