Ni wapi mahala sahihi ku-enjoy na mpenzi?

Ni wapi mahala sahihi ku-enjoy na mpenzi?

Sehemu nzuri, salama n.k kwa bajeti hii ni nyumbani kwako(No offense).

Hapo usafiri kufika na kuondoka sehemu ya sifa zako ni 20k. So literally bajeti yako ni 50k (utakaa kinyonge sana kiongozi)

Muite aje nyumbani mpike chakula kizuri mkipendacho. Vinywaji vya mahitaji yenu. Utafungulia mziki wa chaguo lako kutoka sabufa lako.

Hamtaharakisha kuondoka et kisa mmenaliza kula muwapishe wengine.

Hamtagharamia usafiri wa kuwarudisha nyumbani.

Ama hakika na chench itabaki na kuna Christmas inakuja, if you know you know
Uko sahihi
 
Yeah,but hela isiwe ya mawazo utaenjoy sana
Ndio maana nimesema kabisa iwe ya kutosha yani!

Account inasoma 1B plus kwenda ukatumia hata 5M kujifurahisha na mpenzi wako au family for a week sio kesi! Sio unatumia hela huku unawaza kesho naamkaje😅 Mungu wangu sina hata ya supu na huyu mwanamke!😅
 
Usiwaze kwenda beach hotels wala hio pesa ni ya mbuzi wa kawaida tu wa kufanyia hakika ya mtoto[emoji23]!

Mpeleke demu wako Mlimani akale chips KFC pale inatosha chenchi iliobakia nipigie nikufate na kukupelekeni Lodge ya 25K chimbo mkamalizane walau utabakia na hela ya uchakavu ya kumpa asubuhi!

Ukijifanya kumpeleka bar classic za ufukweni na kama ni mnywaji mzuri utafurahia show. Bia local 6K imported 9K utajua hujui![emoji23]!

Hapo bado hajala plate ya 22K unaweza ukapata simu ya mgonjwa ghafla[emoji28] ukamuaga!
Hahaha Mkuu...
Moja kwa moja umenipa nitoke na malaya, nifanye matumizi nje ya bajeti yangu...
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hahaha Mkuu...
Moja kwa moja umenipa nitoke na malaya, nifanye matumizi nje ya bajeti yangu...
[emoji119][emoji119][emoji119]
Hahahahahah ndio matumizi ya hela kaka😅😆😅 kuna kansa na visukari mbeleni huko bora utumie sahizi wakati afya ipo!
 
Kama ni mpenzi wako kweli huwa wako concerned na matumizi ya hela hatakukomoa[emoji28] mtakula vitu basic tu na uzuri sehemu mnaweza enda ya kiwango cha kati sio expensive sana. Kigamboni zipo zipo njia ya kuelekea Kibada ile
Hapa sasa umeongea, kule ulikuwa unazungumzia wanawake wa Daslam mixer malaya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila haya mambo yanatumia hela kinyama sie huwa tuna utaratbu wa kusafiri aswa kwenye sikukuu yaani mfano tunaeza toka dar kwenda mwanza ama arusha kwa siku kama saba yaani mpunga unatembea aseee
Hahaha This is insane kabisa...
 
Yeah,but hela isiwe ya mawazo utaenjoy sana
Sema mshikaji wanamsakama anaweza akahairisha mtoko nimekuja kumtetea nawe umenitoa nduki,you can't be serious dude
Nah nah i ain't stop mzee, tayari niko na pawa yakutosha, mpenzi wangu hana mambo mengi afu kina mjuba kanipanga mahali hapo[emoji6] Natoka na nakula nae vizuri tu na kulala pia yaan Lodge nzuri tu hapa town...

#SubiriniMrejesho
 
Hapa sasa umeongea, kule ulikuwa unazungumzia wanawake wa Daslam mixer malaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh kule ni wale Slay Queens wa kwenda naziitaga chombo za mjerumani lazima uvunje kibubu ila kwa mpenzi wako ni kama toyota IST tu mafuta inanusa spea bwelelee so gharama ipo chini!
 
Nenda sehemu moja Upanga inaitwa Baraza Restaurant (unaweza uka-google) iko karibu na TAKUKURU pale wana msosi mzuri sana kwa sh 20,000 kwa mtu mmoja kwa hiyo mtatumia 40,000 kwenye chakula na say 20,000 ya vinywaji 10,000 iliyobaki unamhonga huyo mdosho

Kama vipi beba laki ili uvimbe lakini matumizi hapo ni 60,000 tu

Naposema ni pazuri kutoka ni pazuri kweli
 
Hahahahahah ndio matumizi ya hela kaka[emoji28][emoji38][emoji28] kuna kansa na visukari mbeleni huko bora utumie sahizi wakati afya ipo!
Hahaha Una nyumba ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]
It's outin sio kufuru, kuna mengine mengi yakufanya...
 
Nenda sehemu moja Upanga inaitwa Baraza Restaurant (unaweza uka-google) iko karibu na TAKUKURU pale wana msosi mzuri sana kwa sh 20,000 kwa mtu mmoja kwa hiyo mtatumia 40,000 kwenye chakula na say 20,000 ya vinywaji 10,000 iliyobaki unamhonga huyo mdosho

Kama vipi beba laki ili uvimbe lakini matumizi hapo ni 60,000 tu

Naposema ni pazuri kutoka ni pazuri kweli
Considered mkuu...[emoji122][emoji120]
 
Eeh kule ni wale Slay Queens wa kwenda naziitaga chombo za mjerumani lazima uvunje kibubu ila kwa mpenzi wako ni kama toyota IST tu mafuta inanusa spea bwelelee so gharama ipo chini!
[emoji23][emoji122][emoji120]
 
Back
Top Bottom