Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Uko sahihiSehemu nzuri, salama n.k kwa bajeti hii ni nyumbani kwako(No offense).
Hapo usafiri kufika na kuondoka sehemu ya sifa zako ni 20k. So literally bajeti yako ni 50k (utakaa kinyonge sana kiongozi)
Muite aje nyumbani mpike chakula kizuri mkipendacho. Vinywaji vya mahitaji yenu. Utafungulia mziki wa chaguo lako kutoka sabufa lako.
Hamtaharakisha kuondoka et kisa mmenaliza kula muwapishe wengine.
Hamtagharamia usafiri wa kuwarudisha nyumbani.
Ama hakika na chench itabaki na kuna Christmas inakuja, if you know you know