Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
😂yupo serious ndio,mimi mara kadhaa nimewahi kutoka out na rafiki yangu wa kike na tuka spend kama 30000 tuBe serious yaani 70000?
See...! Sasa watu 70k yangu wanaiona ndogo, afu mrembo hana mambo mengi kabisa....[emoji23]yupo serious ndio,mimi mara kadhaa nimewahi kutoka out na rafiki yangu wa kike na tuka spend kama 30000 tu
inategemea na mwanamke,kuna wanawake unampeleka kula anaagiza msosi wa buku tano,juice glass mbili tu ameshiba hataki kingine
hiyo hela kwa mwanamke sahihi ni nyingi mnoSee...! Sasa watu 70k yangu wanaiona ndogo, afu mrembo hana mambo mengi kabisa....
Kaka hela ni nyingi na chenji inabaki. Nenda south beach au Kijiji beachHabari waungwana,
Ebana mimi nataka kujua, kufahamishwa sehemu nzuri hapa mjini Dar es salaam za kutoka na mpenzi wangu na akafurahia ambapo kuna usalama zaidi n.k.
Badget yangu ni TZS 70000
[emoji3577][emoji6]
kama yupo hivo utapewa tu chimbo na wana na mtarudi na chenchi,kwa mikoani huku four star hotels soda moja buku au buku jero,kuna chips kavu buku tatu.Dar sijajua gharama ni vipiUnanipa confidence mkuu, huyu bidada ni mwanamke sahihi sio danga/wanawake wa tabia za mjini...
Ni mpenzi chief...Kaka hela ni nyingi na chenji inabaki. Nenda south beach au Kijiji beach
NB: Kama ni mpenzi kweli sio malaya.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Usiwaze kwenda beach hotels wala hio pesa ni ya mbuzi wa kawaida tu wa kufanyia hakika ya mtoto😂!Beach gani ni nzuri ambayo kuna usalama na chakula (dinner) tu...kwa badget yangu yaani kiingilio, chakula n.k ..!?
Hahahaha elfu 70 hela ya kutosha eeh? 😅 Mkuu una date na mwanafunzi wa sekondari nini? Kwa mwanafunzi wa sekondari hana matumizi zaidi ya chips kuku na soda hata pombe haijui.Wasikutishe 70 K mbona ni hela ya kutosha wakati wengine hapa wanatumia 30?
Kama ni mpenzi wako kweli huwa wako concerned na matumizi ya hela hatakukomoa😅 mtakula vitu basic tu na uzuri sehemu mnaweza enda ya kiwango cha kati sio expensive sana. Kigamboni zipo zipo njia ya kuelekea Kibada ileNi mpenzi chief...
Kigamboni au sio najua bolt itqnifikisha, Entrance imekaaje + Chakula lunch..!? labda na vinywaji kama soda au juice...
Labda mi sijaelewa kasema usafiri anao ni kula na kunywa afu anaenda kulala kwake au sijaelewa?Hahahaha elfu 70 hela ya kutosha eeh? [emoji28] Mkuu una date na mwanafunzi wa sekondari nini? Kwa mwanafunzi wa sekondari hana matumizi zaidi ya chips kuku na soda hata pombe haijui.
Kwa mbandika kucha na kope wa daslamu hio hela nusu mnaweza mkaiacha kwenye vyakula tu na vinywaji tena soft drinks tu maana akiagiza mchupa wa wine tu kichwa lazma kiume, ukijumlisha na usafiri na gharama za lodge imeisha!
Unaamka Pumbu as charged!
Sehemu tulivu yenye usalama si lodge au? Utamtoa mwanamke out af ukamlaze tena kwako?😅Labda mi sijaelewa kasema usafiri anao ni kula na kunywa afu anaenda kulala kwake au sijaelewa?
Aaah,kumbe kuna kulala?mweee! Jamaa ajipangeSehemu tulivu yenye usalama si lodge au? Utamtoa mwanamke out af ukamlaze tena kwako?[emoji28]
Huyo amemaanisha outing na kulala ambapo ni lodge tu.
Kula tu hamna mwenye tumbo la kula msosi wa elfu 70Aaah,kumbe kuna kulala?mweee! Jamaa ajipange
Ila haya mambo yanatumia hela kinyama sie huwa tuna utaratbu wa kusafiri aswa kwenye sikukuu yaani mfano tunaeza toka dar kwenda mwanza ama arusha kwa siku kama saba yaani mpunga unatembea aseeeKula tu hamna mwenye tumbo la kula msosi wa elfu 70
Si mnafurahia maisha lakini! Ndio kazi ya pesa hio hata mie ikifika time ntakuwa bata nazisafiria tu.Ila haya mambo yanatumia hela kinyama sie huwa tuna utaratbu wa kusafiri haawa kwenye sikukuu yaani mfano tunaeza toka dar kwenda mwanza ama arusha kwa siku kama saba yaani mpunga unatembea aseee
Yeah,but hela isiwe ya mawazo utaenjoy sanaSi mnafurahia maisha lakini! Ndio kazi ya pesa hio hata mie ikifika time ntakuwa bata nazisafiria tu.
Hela tamu ikiwepo ya kutosha, makes life very comfortable stress ndogo ndogo hupotea kabisa [emoji28]