Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 557
- 940
Hello wana Jf leo nilikuwa nasikiliza podcast moja online kuhusiana AI na fursa na faida za AI.
Sasa nimekuwa niikitumia tu kwa mazoea AI mfn. kusearch kitu au Kuliza maswali ya kawaida tu. Kweny hizi AI Gemin, chaptGpt, copilato, iask Ai, na copilot.
Naomba kujua ni wapi/which platform, na kwa namna gani naweza kujifunza AI kwa undani,na kuweza kufanya vitu vya msingi zaidi kama kuandika scripts, mawazo ya biashara, kuandika legal docs na mengine mengi..