Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika.

Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali popote.

Kama kuna mtu ana link inayotaja rank hiyo itapendeza akishare katika uzi huu.
 
Kupitia kwa Mbwaduke labda
Nimeshamsikia akilisema hilo ila bado source hiyo ni ya ndani. Ni jambo la kushangaza taarifa kama hiyo imekuwa adimu kupatikana mitandaoni katika chombo chochote cha nje.

Website pekee ambayo imetoa taarifa hiyo ni ya Tanzania inayoitwa "ligikuutz" na mwandishi wake Ngungi wathiongo katika article hiyo amesema ni maoni yake binafsi.

Nikiendelea kutrace source ya hii taarifa inanipeleka IFFHS ambayo rank zake mfano za vilabu zimekuwa na ukakasi sana na haziendani na rank rasmi za CAF.
 
Hiyo Namba tano sidhani kama ni CAF ndio walitoa ranking
Ni Hizi website zetu tunazozipenda kujipia matumaini ,jamii ya IFHHS sijui
 
Nimeshamsikia akilisema hilo ila bado source hiyo ni ya ndani. Ni jambo la kushangaza taarifa kama hiyo imekuwa adimu kupatikana mitandaoni katika chombo chochote cha nje.

Website pekee ambayo imetoa taarifa hiyo ni ya Tanzania inayoitwa "ligikuutz" na mwandishi wake Ngungi wathiongo katika article hiyo amesema ni maoni yake binafsi.

Nikiendelea kutrace source ya hii taarifa inanipeleka IFFHS ambayo rank zake mfano za vilabu zimekuwa na ukakasi sana na haziendani na rank rasmi za CAF.
Ila inaweza kuwa kweli maana ukiangalia kwa ukanda wa nchi za chini ya jangwa la Sahara kwa Sasa ligi yetu itafungwa na team kutoka SA (hapa naongelea Yanga na Simba)
 
Makolo mna shida ya kimsingi Sana. Yaani Yanga akifanya vizuri kwenye ligi mnataka kutuaminisha ni ligi dhaifu, Simba wakis<hiriki shirikisho inakuwa ni kombe gumu hadi la kulogea ikibidi ila akishiriki Yanga inakuwa ya loosers.

Kabla ya ligi ya NBC kuanza mlikuwa vifua mbele sanaaa kuusifia usajili wa kolo safari hii na mlitamba Sana kuchukua NBC na kusema Yanga watamkumbuka Fiston maana hawana wafungaji tena! Baada ya ligi kuanza na kuona butua butua yenu mnageuza sasa ligi ni dhaifu.

Anyways ndio kwanza timu zimecheza mechi mbili, mbili tu kuweni na subira wakuu, ni mapema mno
 
Ila inaweza kuwa kweli maana ukiangalia kwa ukanda wa nchi za chini ya jangwa la Sahara kwa Sasa ligi yetu itafungwa na team kutoka SA (hapa naongelea Yanga na Simba)
Nimefanikiwa kutrace source ya hii taarifa ni IFFHS ambayo katika taarifa hiyo wamelist rank ya nchi 80 duniani kwa mwaka 2022 na wameiweka ligi ya Tanzania nafasi ya 39 juu ya ligi kama Saudi Arabia, USA, Sweden, Qatar, Russia na China.

Nadhani walioirukia list hii wameangalia nchi za Afrika zilizoko kwenye hii list na kutengeneza hiyo taarifa ya nafasi ya 5 Afrika ila IFFHS hata wenyewe hawajatoa list ya ligi bora za Afrika peke yake.

Baada ya kupata hii source swali lililobaki, je hizi rank za IFFHS zinaaminika na zinachukuliwa kwa uzito kiasi gani huko nje?
 
Ligi ni mechi 30, bado mapema sana kutabiri. Lkn ukweli ulivyo YANGA anachukua tena hii NBC.
 
Makolo mna shida ya kimsingi Sana. Yaani Yanga akifanya vizuri kwenye ligi mnataka kutuaminisha ni ligi dhaifu, Simba wakis<hiriki shirikisho inakuwa ni kombe gumu hadi la kulogea ikibidi ila akishiriki Yanga inakuwa ya loosers.

Kabla ya ligi ya NBC kuanza mlikuwa vifua mbele sanaaa kuusifia usajili wa kolo safari hii na mlitamba Sana kuchukua NBC na kusema Yanga watamkumbuka Fiston maana hawana wafungaji tena! Baada ya ligi kuanza na kuona butua butua yenu mnageuza sasa ligi ni dhaifu.

Anyways ndio kwanza timu zimecheza mechi mbili, mbili tu kuweni na subira wakuu, ni mapema mno
Aaaahaaa,ummewachambua vyema sana
 
Aliyesema shirikisho ni kombe la loser unamjua?
 
Top 80 (1st January 2022 – 31st December 2022)
Place2021ConfederationPoints
11BrazilCONMEBOL1181
22EnglandUEFA1086
34SpainUEFA967,5
48GermanyUEFA921,5
53ItalyUEFA866
65FranceUEFA855
76PortugalUEFA853,25
87NetherlandsUEFA808,75
99ArgentinaCONMEBOL798,5
1010ParaguayCONMEBOL701
1118EcuadorCONMEBOL654
1211ColombiaCONMEBOL639
1314EgyptCAF638,25
1419BelgiumUEFA622,5
1517TurkeyUEFA582,5
1626UruguayCONMEBOL549
1713SerbiaUEFA543,25
1822Korea RepublicAFC525,25
1925RoumaniaUEFA522,5
2029AlgeriaCAF518,75
2121ScotlandUEFA518,5
2215Czech RepublicUEFA511,5
2323IsraelUEFA507
2430MoroccoCAF488,25
2520GreeceUEFA476
2628MexicoCONCACAF464
2724DenmarkUEFA436
2816AustriaUEFA434
2912CroatiaUEFA409,5
3034JapanAFC402
3143BoliviaCONMEBOL391
3246NorwayUEFA378,25
3374SudanCAF373,75
3455ChileCONMEBOL371
3565PeruCONMEBOL367
3663HondurasCONCACAF366,25
3745Costa RicaCONCACAF361,25
3832CyprusUEFA354,5
3962TanzaniaCAF353,5
4048Saudi ArabiaAFC352,75
4160AzerbaijanUEFA349,25
4251GuatemalaCONCACAF345,5
4367USACONCACAF338
4442SwedenUEFA335,5
4541PolandUEFA335
4664LatviaUEFA332
4747BulgariaUEFA331
4750VenezuelaCONMEBOL331
4933SwitzerlandUEFA329,25
5039Northern IrelandUEFA323
5161LithuaniaUEFA322,5
5231South AfricaCAF321,25
 
Hii ndiyo ranking ya IFFHS niliyoiwekea link hapo juu. Hivi Tanzania tuna ligi bora kuizidi Saudi Arabia, Sweden, USA, Ireland na Russia? Hawa IFFHS ndiyo waliiweka Yanga juu ya Simba mwisho wa siku CAF wakaja kuwaumbua walipotoa ranking yao.
 
Niliuliza hili swali hakuna aliyetoka kuthibitisha kuwa ligi yetu ni kweli ya 5 kwa ubora kupitia vyanzo vya kuaminika.

Nimethibitisha waliosukuma ajenda hii ya ligi kuwa ya 5 kwa ubora ni kundi la watu fulani kwa sababu mtandano huo umekuwa unaonekana kuwabeba katika ranking. Walifanya hivyo ili waweze kurudi kusema "kama mliamini taarifa zile na hizi mziamini". Leo hii mtandao huo huo unasema Yanga ni ya 3 kwa ubora Africa kwa hiyo, kama hamkubisha ile ya ligi na hii hamuwezi kubisha.

Ligi ya 5 kwa ubora lakini inashindwa kutoa waamuzi wa kuchezesha mechi za kimataifa.
 
Kwani wewe nia yako hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom