Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

Wewe ndio mpuuzi hao IFFHS wamefanya research na wanatambulika na FIFA wewe kama una fact weka data zako mezani sio kuanzisha ubishi huna data
Endeleeni kuwadanganya wasiojua ila msidhani kila mtu ni mjinga. Hao IFFHS hawana uhusiano wala ushirikiano wowote na FIFA.

Wasikie FIFIA wenyewe wanavyosema:
"No, FIFA is only affiliated with national associations and thus does not employ a ranking system for individual clubs. From time to time, people confuse the International Federation of Football History & Statistics (IFFHS) club ranking system with the FIFA/Coca-Cola World Ranking, though we must stress that FIFA has no affiliation with the IFFHS' ranking."
 
Nmekuuliza wewe shida yako ni ni nini? leta data zako ili upingane nao unaleta porojo
 
Na mimi nilikujibu acha kuuliza maswali ya kipuuzi ila naona bado unayauliza
Umeshindwa kutoa data hata moja aya ngoja niku saidie kwanini Tanzania inatoa timu 4 kwenye CAF tournaments?
Anyway tuambie wewe kwa rank zako unaiweka number ngapi?
 
Hiyo hapo toka CAF wenyewe
Screenshot_20230914-160717_Chrome.jpg
 
Umeshindwa kutoa data hata moja aya ngoja niku saidie kwanini Tanzania inatoa timu 4 kwenye CAF tournaments?
Anyway tuambie wewe kwa rank zako unaiweka number ngapi?
Nimekukataza kuuliza maswali ya kipuuzi. Kwa akili zako unadhani Tanzania tuna ligi bora kuzidi Saudi Arabia, USA, Sweden na hata Qatar na Russia? Kwa akili zako umejiuliza inakuwaje Yanga inapanda ila bingwa aliyechukua kombe kwa kumfunga Yanga bado yuko chini?
 
Weka reference za kuaminika. Hiyo Wikipedia hata wewe unaweza andika. Angalie hiyo article, ukienda chini kwenye references hamna link yoyote kujua hiyo rank imetoka wapi.

Kwa taarifa yako hao wenzio wanaosambaza hizo taarifa hawatumii hiyo list uliyotuma. Soma post za juu.
 
Nimekukataza kuuliza maswali ya kipuuzi. Kwa akili zako unadhani Tanzania tuna ligi bora kuzidi Saudi Arabia, USA, Sweden na hata Qatar na Russia? Kwa akili zako umejiuliza inakuwaje Yanga inapanda ila bingwa aliyechukua kombe kwa kumfunga Yanga bado yuko chini?
Kwa hio IFFHS wanamilikiwa na Yanga? kumbe kelele zote hizo hasira zako ilikua ni Yanga umejificha kwenye kichaka finally umetoa makalio nje
 
Simba alivyocheza na CskA Moskow matokeo yalikuwaje?
 
Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika.

Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali popote.

Kama kuna mtu ana link inayotaja rank hiyo itapendeza akishare katika uzi huu.
Usipate shida ligi iko nafasi ya ngapi ila ni lini vilabu vyetu vitakuwa bingwa michezo ya CAF na nchi kushinda AFCON!

Matokeo ya uwanjani ndio muhimu
 
Kwa hio IFFHS wanamilikiwa na Yanga? kumbe kelele zote hizo hasira zako ilikua ni Yanga umejificha kwenye kichaka finally umetoa makalio nje
Wewe hapo umeona Yanga tu ndiyo imetajwa? Umefuatilia huu uzi toka umeanzishwa hadi nilipoupandisha tena leo?

Ukisikia Yanga inatajwa tu unatoka makamasi mwenye matundu yako yote
 
Acha ubishi, umeulizwa unajua kwanini NBCPL inatoa team 4 kwenye mashindano ya CAF lkn hujajibu!
Usipate shida ligi iko nafasi ya ngapi ila ni lini vilabu vyetu vitakuwa bingwa michezo ya CAF na nchi kushinda AFCON!

Matokeo ya uwanjani ndio muhimu
Mnasambaza taarifa za uongo kutoka vyanzo vya hovyo na kwa kuwa makanjanja walioko kwenye media wako mfukoni mwenu wanawaunga mkono bila kuwahoji, mkiulizwa mnakuja na maswali ya ki*****
 
Wewe hapo umeona Yanga tu ndiyo imetajwa? Umefuatilia huu uzi toka umeanzishwa hadi nilipoupandisha tena leo?

Ukisikia Yanga inatajwa tu unatoka makamasi mwenye matundu yako yote
Nmekwambia leta source yako tuachachane na hio ya uongo una tingisha kalio kama malaya
 
Unajificha kwenye kichaka cha burden of proof ila nitakuwashia moto huko huko hadi ukimbie. Tangu lini wikipedia ndiyo wanatangaza viwango vya ligi? Mmekosa link za CAF au FIFA kutetea uongo wenu. Umesema IFFHS wanatambulika na FIFA na nimemsikia hadi msemaji wenu akidai eti ukiingia website ya FIFA utaona wanatumia data za IFFHS, mnajua watu siyo wafuatiliaji. Nimekuwekea post ya FIFA wenyewe wakisema hawana uhusiano wowote na hao makanjanja.

Najua huu uzi utaukimbia bila kuaga, waulize wenzako wanaokujana na taarifa za uongo wanavyonikimbiaga.
 
Unajificha kwenye kichaka cha burden of proof ila nitakuwashia moto huko huko hadi ukimbie. Tangu lini wikipedia ndiyo wanatangaza viwango vya ligi? Mmekosa link za CAF au FIFA kutetea uongo wenu. Umesema IFFHS wanatambulika na FIFA na nimemsikia hadi msemaji wenu akidai eti ukiingia website ya FIFA utaona wanatumia data za IFFHS, mnajua watu siyo wafuatiliaji. Nimekiwekea post ya FIFA wenyewe wakisema hawana uhusiano wowote na hao makanjanja.

Najua huu uzi utaukimbia bila kuaga, waulize wenzako wanaokujana na taarifa za uongo wanavyonikimbiaga.
Leta source yako ili hii ya uongo tuikatae mbona simple sana au basi tupe rank zako, unabisha kitu huna evidence afadhari alie leta source ya Wikipedia kuliko wewe unaleta maneno matupu
 
Una akili hata za kuvukia barabara wee? Wewe ulivyosema FIFA inaitambua IFFHS ulitumia source gani au mnajambajamba tu huku mitandaoni
 
Back
Top Bottom