Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ile ya takwimu ya jana ni ya kihuni.Niliuliza hili swali hakuna aliyetoka kuthibitisha kuwa ligi yetu ni kweli ya 5 kwa ubora kupitia vyanzo vya kuaminika.
Nimethibitisha waliosukuma ajenda hii ya ligi kuwa ya 5 kwa ubora ni kundi la watu fulani kwa sababu mtandano huo umekuwa unaonekana kuwabeba katika ranking. Walifanya hivyo ili waweze kurudi kusema "kama mliamini taarifa zile na hizi mziamini". Leo hii mtandao huo huo unasema Yanga ni ya 3 kwa ubora Africa kwa hiyo, kama hamkubisha ile ya ligi na hii hamuwezi kubisha.
Ligi ya 5 kwa ubora lakini inashindwa kutoa waamuzi wa kuchezesha mechi za kimataifa.