Nimeshamsikia akilisema hilo ila bado source hiyo ni ya ndani. Ni jambo la kushangaza taarifa kama hiyo imekuwa adimu kupatikana mitandaoni katika chombo chochote cha nje.Kupitia kwa Mbwaduke labda
Ila inaweza kuwa kweli maana ukiangalia kwa ukanda wa nchi za chini ya jangwa la Sahara kwa Sasa ligi yetu itafungwa na team kutoka SA (hapa naongelea Yanga na Simba)Nimeshamsikia akilisema hilo ila bado source hiyo ni ya ndani. Ni jambo la kushangaza taarifa kama hiyo imekuwa adimu kupatikana mitandaoni katika chombo chochote cha nje.
Website pekee ambayo imetoa taarifa hiyo ni ya Tanzania inayoitwa "ligikuutz" na mwandishi wake Ngungi wathiongo katika article hiyo amesema ni maoni yake binafsi.
Top 10 Best Leagues In Africa 2023
Top 10 Best Leagues In Africa 2023 Strongest league in Africa: Top League refers to the top professional football (soccer) leagues in Africaligikuutz.com
Nikiendelea kutrace source ya hii taarifa inanipeleka IFFHS ambayo rank zake mfano za vilabu zimekuwa na ukakasi sana na haziendani na rank rasmi za CAF.
Nimefanikiwa kutrace source ya hii taarifa ni IFFHS ambayo katika taarifa hiyo wamelist rank ya nchi 80 duniani kwa mwaka 2022 na wameiweka ligi ya Tanzania nafasi ya 39 juu ya ligi kama Saudi Arabia, USA, Sweden, Qatar, Russia na China.Ila inaweza kuwa kweli maana ukiangalia kwa ukanda wa nchi za chini ya jangwa la Sahara kwa Sasa ligi yetu itafungwa na team kutoka SA (hapa naongelea Yanga na Simba)
Aaaahaaa,ummewachambua vyema sanaMakolo mna shida ya kimsingi Sana. Yaani Yanga akifanya vizuri kwenye ligi mnataka kutuaminisha ni ligi dhaifu, Simba wakis<hiriki shirikisho inakuwa ni kombe gumu hadi la kulogea ikibidi ila akishiriki Yanga inakuwa ya loosers.
Kabla ya ligi ya NBC kuanza mlikuwa vifua mbele sanaaa kuusifia usajili wa kolo safari hii na mlitamba Sana kuchukua NBC na kusema Yanga watamkumbuka Fiston maana hawana wafungaji tena! Baada ya ligi kuanza na kuona butua butua yenu mnageuza sasa ligi ni dhaifu.
Anyways ndio kwanza timu zimecheza mechi mbili, mbili tu kuweni na subira wakuu, ni mapema mno
Mzee wa nyota moja, mwanasheria wangu amesapu halafu pia kabatini nina jezi ya Namungo ya msimu uliopita. Ngoja nijizuie kujibu hiloMbona hata jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora duniani
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Aliyesema shirikisho ni kombe la loser unamjua?Makolo mna shida ya kimsingi Sana. Yaani Yanga akifanya vizuri kwenye ligi mnataka kutuaminisha ni ligi dhaifu, Simba wakis<hiriki shirikisho inakuwa ni kombe gumu hadi la kulogea ikibidi ila akishiriki Yanga inakuwa ya loosers.
Kabla ya ligi ya NBC kuanza mlikuwa vifua mbele sanaaa kuusifia usajili wa kolo safari hii na mlitamba Sana kuchukua NBC na kusema Yanga watamkumbuka Fiston maana hawana wafungaji tena! Baada ya ligi kuanza na kuona butua butua yenu mnageuza sasa ligi ni dhaifu.
Anyways ndio kwanza timu zimecheza mechi mbili, mbili tu kuweni na subira wakuu, ni mapema mno
Akikujibu nitag.Aliyesema shirikisho ni kombe la loser unamjua?
| Top 80 (1st January 2022 – 31st December 2022) | ||||||
| Place | 2021 | Confederation | Points | |||
| 1 | 1 | Brazil | CONMEBOL | 1181 | ||
| 2 | 2 | England | UEFA | 1086 | ||
| 3 | 4 | Spain | UEFA | 967,5 | ||
| 4 | 8 | Germany | UEFA | 921,5 | ||
| 5 | 3 | Italy | UEFA | 866 | ||
| 6 | 5 | France | UEFA | 855 | ||
| 7 | 6 | Portugal | UEFA | 853,25 | ||
| 8 | 7 | Netherlands | UEFA | 808,75 | ||
| 9 | 9 | Argentina | CONMEBOL | 798,5 | ||
| 10 | 10 | Paraguay | CONMEBOL | 701 | ||
| 11 | 18 | Ecuador | CONMEBOL | 654 | ||
| 12 | 11 | Colombia | CONMEBOL | 639 | ||
| 13 | 14 | Egypt | CAF | 638,25 | ||
| 14 | 19 | Belgium | UEFA | 622,5 | ||
| 15 | 17 | Turkey | UEFA | 582,5 | ||
| 16 | 26 | Uruguay | CONMEBOL | 549 | ||
| 17 | 13 | Serbia | UEFA | 543,25 | ||
| 18 | 22 | Korea Republic | AFC | 525,25 | ||
| 19 | 25 | Roumania | UEFA | 522,5 | ||
| 20 | 29 | Algeria | CAF | 518,75 | ||
| 21 | 21 | Scotland | UEFA | 518,5 | ||
| 22 | 15 | Czech Republic | UEFA | 511,5 | ||
| 23 | 23 | Israel | UEFA | 507 | ||
| 24 | 30 | Morocco | CAF | 488,25 | ||
| 25 | 20 | Greece | UEFA | 476 | ||
| 26 | 28 | Mexico | CONCACAF | 464 | ||
| 27 | 24 | Denmark | UEFA | 436 | ||
| 28 | 16 | Austria | UEFA | 434 | ||
| 29 | 12 | Croatia | UEFA | 409,5 | ||
| 30 | 34 | Japan | AFC | 402 | ||
| 31 | 43 | Bolivia | CONMEBOL | 391 | ||
| 32 | 46 | Norway | UEFA | 378,25 | ||
| 33 | 74 | Sudan | CAF | 373,75 | ||
| 34 | 55 | Chile | CONMEBOL | 371 | ||
| 35 | 65 | Peru | CONMEBOL | 367 | ||
| 36 | 63 | Honduras | CONCACAF | 366,25 | ||
| 37 | 45 | Costa Rica | CONCACAF | 361,25 | ||
| 38 | 32 | Cyprus | UEFA | 354,5 | ||
| 39 | 62 | Tanzania | CAF | 353,5 | ||
| 40 | 48 | Saudi Arabia | AFC | 352,75 | ||
| 41 | 60 | Azerbaijan | UEFA | 349,25 | ||
| 42 | 51 | Guatemala | CONCACAF | 345,5 | ||
| 43 | 67 | USA | CONCACAF | 338 | ||
| 44 | 42 | Sweden | UEFA | 335,5 | ||
| 45 | 41 | Poland | UEFA | 335 | ||
| 46 | 64 | Latvia | UEFA | 332 | ||
| 47 | 47 | Bulgaria | UEFA | 331 | ||
| 47 | 50 | Venezuela | CONMEBOL | 331 | ||
| 49 | 33 | Switzerland | UEFA | 329,25 | ||
| 50 | 39 | Northern Ireland | UEFA | 323 | ||
| 51 | 61 | Lithuania | UEFA | 322,5 | ||
| 52 | 31 | South Africa | CAF | 321,25 |
Hii ndiyo ranking ya IFFHS niliyoiwekea link hapo juu. Hivi Tanzania tuna ligi bora kuizidi Saudi Arabia, Sweden, USA, Ireland na Russia? Hawa IFFHS ndiyo waliiweka Yanga juu ya Simba mwisho wa siku CAF wakaja kuwaumbua walipotoa ranking yao.
Top 80 (1st January 2022 – 31st December 2022) Place 2021 Confederation Points 1 1 Brazil CONMEBOL 1181 2 2 England UEFA 1086 3 4 Spain UEFA 967,5 4 8 Germany UEFA 921,5 5 3 Italy UEFA 866 6 5 France UEFA 855 7 6 Portugal UEFA 853,25 8 7 Netherlands UEFA 808,75 9 9 Argentina CONMEBOL 798,5 10 10 Paraguay CONMEBOL 701 11 18 Ecuador CONMEBOL 654 12 11 Colombia CONMEBOL 639 13 14 Egypt CAF 638,25 14 19 Belgium UEFA 622,5 15 17 Turkey UEFA 582,5 16 26 Uruguay CONMEBOL 549 17 13 Serbia UEFA 543,25 18 22 Korea Republic AFC 525,25 19 25 Roumania UEFA 522,5 20 29 Algeria CAF 518,75 21 21 Scotland UEFA 518,5 22 15 Czech Republic UEFA 511,5 23 23 Israel UEFA 507 24 30 Morocco CAF 488,25 25 20 Greece UEFA 476 26 28 Mexico CONCACAF 464 27 24 Denmark UEFA 436 28 16 Austria UEFA 434 29 12 Croatia UEFA 409,5 30 34 Japan AFC 402 31 43 Bolivia CONMEBOL 391 32 46 Norway UEFA 378,25 33 74 Sudan CAF 373,75 34 55 Chile CONMEBOL 371 35 65 Peru CONMEBOL 367 36 63 Honduras CONCACAF 366,25 37 45 Costa Rica CONCACAF 361,25 38 32 Cyprus UEFA 354,5 39 62 Tanzania CAF 353,5 40 48 Saudi Arabia AFC 352,75 41 60 Azerbaijan UEFA 349,25 42 51 Guatemala CONCACAF 345,5 43 67 USA CONCACAF 338 44 42 Sweden UEFA 335,5 45 41 Poland UEFA 335 46 64 Latvia UEFA 332 47 47 Bulgaria UEFA 331 47 50 Venezuela CONMEBOL 331 49 33 Switzerland UEFA 329,25 50 39 Northern Ireland UEFA 323 51 61 Lithuania UEFA 322,5 52 31 South Africa CAF 321,25
Kwani wewe nia yako hasa ni nini?Niliuliza hili swali hakuna aliyetoka kuthibitisha kuwa ligi yetu ni kweli ya 5 kwa ubora kupitia vyanzo vya kuaminika.
Nimethibitisha waliosukuma ajenda hii ya ligi kuwa ya 5 kwa ubora ni kundi la watu fulani kwa sababu mtandano huo umekuwa unaonekana kuwabeba katika ranking. Walifanya hivyo ili waweze kurudi kusema "kama mliamini taarifa zile na hizi mziamini". Leo hii mtandao huo huo unasema Yanga ni ya 3 kwa ubora Africa kwa hiyo, kama hamkubisha ile ya ligi na hii hamuwezi kubisha.
Ligi ya 5 kwa ubora lakini inashindwa kutoa waamuzi wa kuchezesha mechi za kimataifa.