Na wakati wagalatia wanapokwenda kula Christmas Makwao WIZI NA UJAMBAZI UNAPUNGUA SANA MIJINI!
Kumbe eeeh! Mbona nikienda mahakamani majina ninayoyaskia ni kina mwamedi, Hamis, shukuru n the like.
Zanzibar hakuna kitimoto
sasa mbona ni Dar tu, ndio kusema watu wa nje ya Dar hatutumii, vipi hapa mwanza nitapata wapi.?
njoo capri point opposite na ikulu ndogo au maeneo ya villar park ile bar cjui inaitwaje... na kirumba resort!!! kama upo nyakato kuna boma, mtena b na sansiro.... unakingine nikusaidie
Kumbe Yericko na huku umo? Sio siasa tuNenda banana ukonga pale stendi kwanyuma! Yani kuna baa zaidi ya 400 na kila baa ina jiko la gesi kwaajili ya wakatoliki,usisahau malaya na mashoga wapo wakumwaga!
Tatizo linaloboa kunaombaomba wakutisha yani anaweza kufunulia donda alilona mpaka hamu ya wakatoliki ikaisha kabisa.
Naombeni kwa wale wazoefu mnijuze, ni wapi naweza pata nyama safi ya mdudu kwa ajili ya kuuburudisha mwili na roho yangu for the weekend, nimechoka sana na kazi zimenibana sana nahitaji mdudu nile nitulie hadi jumatatu.
Asanteni sana kwa wale mtakaonijuza na kwa wale mtakaokasirika nawakaribisha pia ila muache wivu