Free Again
Senior Member
- Dec 20, 2015
- 114
- 93
Vifaranga wa Muscovy unauza tsh ngapi mmoja?bata aina tofaut tofaut wanapatikana CHANIKA KWA SINGA
call 0746 696878
View attachment 2225629
View attachment 2225631
Huwa3000Vifaranga wa Muscovy unauza tsh ngapi mmoja?
Tuwekee hata picha tupate kuwaona size zao (ukubwa wao).Habari za majukumu! nakusalimu popote pale ulipo unaposoma waraka huu!
Jamani Mimi ni mjasiliamali mdogo kwa sasa! Na hapa Nina bata wakubwa 33 majike na madume ! Naomba kujua wapi naweza nikapata SOKO lao! Na hata kama ni wewe uko interested waweza kuwasiliana nami kwa Namba ya simu ni 0756688789,nipo iringa-mtera.bei ni tsh 25,000/= kwa dume na 15,000/= kwa jike!
Natashukuru kwa msaada wako ama ushaur wako!
#0756688789
Shinyanga sehemu gani?Nenda shinyanga huko bata ni buku 8 dume ten