Free Again
Senior Member
- Dec 20, 2015
- 114
- 93
Habari za majukumu!
Nakusalimu popote pale ulipo unaposoma waraka huu.
Jamani Mimi ni mjasiliamali mdogo kwa sasa! Na hapa Nina bata wakubwa 33 majike na madume.
Naomba kujua wapi naweza nikapata SOKO lao! Na hata kama ni wewe uko interested waweza kuwasiliana nami kwa Namba ya simu ni 0756688789, nipo Iringa-Mtera. Bei ni tsh 25,000/= kwa dume na 15,000/= kwa jike!
Natashukuru kwa msaada wako ama ushaur wako!
#0756688789