Ni wapi naweza kupata Soko la Bata?

Ni wapi naweza kupata Soko la Bata?

Free Again

Senior Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
114
Reaction score
93
Habari za majukumu!

Nakusalimu popote pale ulipo unaposoma waraka huu.

Jamani Mimi ni mjasiliamali mdogo kwa sasa! Na hapa Nina bata wakubwa 33 majike na madume.

Naomba kujua wapi naweza nikapata SOKO lao! Na hata kama ni wewe uko interested waweza kuwasiliana nami kwa Namba ya simu ni 0756688789, nipo Iringa-Mtera. Bei ni tsh 25,000/= kwa dume na 15,000/= kwa jike!

Natashukuru kwa msaada wako ama ushaur wako!

#0756688789
 
bata aina tofaut tofaut wanapatikana CHANIKA KWA SINGA
call 0746 696878


62DE661A-A8ED-425D-893E-7B41687E9958.jpeg


C35A0966-6D06-439F-835C-500CD242062F.jpeg
 

Attachments

  • IMG_0231.MP4
    1.2 MB
Habari za majukumu! nakusalimu popote pale ulipo unaposoma waraka huu!
Jamani Mimi ni mjasiliamali mdogo kwa sasa! Na hapa Nina bata wakubwa 33 majike na madume ! Naomba kujua wapi naweza nikapata SOKO lao! Na hata kama ni wewe uko interested waweza kuwasiliana nami kwa Namba ya simu ni 0756688789,nipo iringa-mtera.bei ni tsh 25,000/= kwa dume na 15,000/= kwa jike!
Natashukuru kwa msaada wako ama ushaur wako!
#0756688789
Tuwekee hata picha tupate kuwaona size zao (ukubwa wao).
 
Back
Top Bottom