Ni wapi nitapata duka la dawa za asili Kisuna Mwanza mjini?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.

Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
 
Nenda mjini pale picha ya Nyerere nyuma ya solo kuu linapojengwa,huko Kuna maduka mengi ya aina hiyo,au taja jina la dawa nikutumie mimi
 
Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.

Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Mkuu nenda Hussein sizya lipo rufiji
 
Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.

Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Kama unataka za kuambatana na uchawi nenda kishiri na kama za kutibu kawaida nenda kisesa
 
Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.

Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Maeneo ya waswahili yenye Waislam wengi.
 
Maduka Mengine yapo mtaa wa Uhuru karibu na ule msikiti wa Ghorofa.

Pale yapo kama matatu hivi.
 
Back
Top Bottom