Katiķati ya Ndama na stendi ya Magu, upande wa kulià kama unaelekea mjiniHaya maduka mbona siyaoni igoma
Mkuu nenda Hussein sizya lipo rufijiKuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.
Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Kama unataka za kuambatana na uchawi nenda kishiri na kama za kutibu kawaida nenda kisesaKuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.
Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Maeneo ya waswahili yenye Waislam wengi.Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.
Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Karibu tena, Mwanza uliza chochote mkuuNimefika na nimefanikiwa. Umu wakulungwa mpo kumbe wa kutosha