I stokes hivyo kwa wengineDuu mtoto mdogo sana 3.5years
Nenda kapime kwa opticianwakubwa naombeni ushauri kuhusu afya ya macho yangu
Kila nikikodolea macho screen ya simu au computer yanapata joto sana na wakati mwingine yanawasha na kutoa machozi
Nenda kwa specialist wa macho, Kairuki, muimbili, bugando au Agha khanNdugu yangu anasumbuliwa na tatizo la macho( kutoona vizuri), mchana haoni kitu chochote ni giza tu lakin usiku anaona kwambaliii sana tatizo hilo limekuwa sugu kwani tangu aanze kuumwa ni takribani miezi 6 sasa, kama kunamtu anajua tiba ya ugonjwa huu au hata ushauri pia ni muhimu sana. nawasilisha!
Nenda kwa specialist wa macho, Kairuki, muimbili, bugando au Agha khan
sawa mkuu