Ni wapi ulipo wewe Recho?

Ni wapi ulipo wewe Recho?

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Huyu mwanadada wa Bongo Fleva aliyewika kwa wimbo wake wa kizunguzungu,upepo,umependeza,nashukuru umerudi yuko wapi ?

Kwa mwenye kufahamu alipo na anafanya nini aseme nimemiss sana uwepo wake katika muziki wa bongo fleva.
 
Tatizo huyu Recho alikuwa ana mpenda sana Ray C sasa inaonekana wanatembelea nyota moja now.

Ila sauti yake nilikuwa naikubali sana, hapa bwana Ruge alivumbua kipaji kwa kweli
 
Tatizo huyu Recho alikuwa ana mpenda sana Ray C sasa inaonekana wanatembelea nyota moja now.

Ila sauti yake nilikuwa naikubali sana, hapa bwana Ruge alivumbua kipaji kwa kweli
Kama anatembelea nyota ya ray c basi yuko pabaya sana ,alikuwa ananikosha kisawa sawa
 
Muulize mnyama , BOSS wa Radar entertainment, T . I . D.........
 
Huyu mwanadada wa Bongo Fleva aliyewika kwa wimbo wake wa kizunguzungu,upepo,umependeza,nashukuru umerudi yuko wapi ?

Kwa mwenye kufahamu alipo na anafanya nini aseme nimemiss sana uwepo wake katika muziki wa bongo fleva.
Si nilisikiaga eti huyu dada alikufaga au..!!![emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Ruby anasema "Atakupa unachotaka
Akutumie anavyotaka "
Ndo alichofanywa recho na mungu mtu
 
Nimesoma heading ni News Alert,nakuja kwenye habari nakutana na swali. Basi sawa.
 
Mkuu huyu recho ni tofauti na yule niliyesikia amefariki???
 
Back
Top Bottom