Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Natamani kwenda Rwanda na Caribbean.
Kama ni demu, ni pm.I wish kwenda Mwanza, sijawahi kwenda ,napapenda (samaki)😋
Mimi siyo "demu" ni binti mkuu. Nishakosa offerKama ni demu, ni pm.
Chini ya bahari, Great Barrier Reef. Australia.Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo
Kikwazo cha wengi kutosafiri huwa ni kukosa uwezo wa kifedha na pia muda wa kuondoka katika shughuli za kiuchumi na kijamii
Endapo ukiwa na pesa na muda ungependa kusafiri kwenda wapi?
I wish kwenda Mwanza, sijawahi kwenda ,napapenda (samaki)[emoji39]
Nilisema na bado nasema hivo mkuu.Heeeeee uliwahi kusema hivi wewe
nimewahi kupitia hii miji..asee mpaka leo na wish kurudi tena dahParis city of love and romance au Milan city of fashion
I wish kwenda Mwanza, sijawahi kwenda ,napapenda (samaki)[emoji39]
Thank you, Mungu akipenda ntafika tuu.Home town,nenda siku moja katembee hutajuta kula sato.
Nilisema na bado nasema hivo mkuu.