Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo

Kikwazo cha wengi kutosafiri huwa ni kukosa uwezo wa kifedha na pia muda wa kuondoka katika shughuli za kiuchumi na kijamii

Endapo ukiwa na pesa na muda ungependa kusafiri kwenda wapi?
Chini ya bahari, Great Barrier Reef. Australia.

Large Hadron Collider, near Geneva, Switzerland.

Antarctica.

Angkor Wat, Cambodia.

Surabaya, Indonesia.

Kumamoto, Japan.

Robben Island, South Africa.

The Parthenon, Athens, Greece.

Ibiza, Spain

Rio de Janeiro, Brazil.

Ouagadougou, Burkina Faso.

Last, but not least. Dar es salaam. Tanzania.



Sent from my typewriter using Tapatalk
 
sehemu ya Kwanza na ya kipekee..
Colombia..cartagena😍😍
Ikiwezekana nibaki hukohuko
 
Back
Top Bottom