Nlikuwa sitaki ku-comment chochote humu kwa sasa ila kwa vile mimi ni tajiri wa nafsi nkaona sio mbaya kama ntawapa hii fursa iliyopo kwa sasa.Nakubali. Nasubiri.
Seen????
Yaani nakuangalia tu na mambo yako. Mimi wa kunisahau kweli???
Nzuri sana sema taaarifa imechelewa kufika.Nlikuwa sitaki ku-comment chochote humu kwa sasa ila kwa vile mimi ni tajiri wa nafsi nkaona sio mbaya kama ntawapa hii fursa iliyopo kwa sasa.
Qatar airways wametoa ticket 100,000 kama offer kwa wafanyakazi wote wa sekta ya afya duniani. Offer hii unatakiwa utume maombi na mwisho wa kutuma maombi ni kesho tarehe 18th May 2020 ambapo ukifanikiwa kupata utatakiwa usafiri not later than 10th December 2020. Booking ya safari yako utatakiwa uwe umeifanya at least 14 days before departure.
Offer hii inajumuisha kusafiri popote duniani ambapo Qatar airways ina-fly huku kukiwa hakuna limitation ya destination. Kupitia offer hii mfanyakazi wa sekta ya afya anaruhusiwa kuchukua "partner" mmoja katika safari yake hiyo.
Kupitia offer hii utalipa tu taxes na fee zinazohusu taifa husika hivyo kufanya safari yako kuwa extremely cheap.
Mimi ni mmoja wa wanufaika ambapo nilifanya application kupitia mamachanja na tumepatiwa code yetu tayari for booking.
Katika kutafuta destination tukaangalia trip ya Zanzibar-Oslo, Helsinki -Zanzibar na tunatakiwa tulipie $181.78 tu kwa watu wawili ambazo ni less than 420,000 ila tusafiri si zaidi ya 10th December.
Kwa vile tayari ninayo ticket yangu ya holiday ya mwaka huu, nimeamua kwenda kuipeleka hiyo mbele ili mwaka huu nisafiri kwa offer hii.
Maelezo ni mengi wakuu muhimu ingieni kwenye website ya Qatar airways mjionee
Zoë
Mzigua90
Haijachelewa. Kesho ndio deadlineNzuri sana sema taaarifa imechelewa kufika.
Ni kweli wewe sio wa kusahaulika, hata hivyo sijakusahau kabisa rafiki trust me. Ni kwamba tu mambo ni mengi nisamehe bure, tatizo ni kwamba siku hizi sina Whatsapp ila bado sio excuse ya maana... nisamehe tuYaani nakuangalia tu na mambo yako. Mimi wa kunisahau kweli???
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mweewala sijachoshwa na matendo yako.....wanawake mukiwezeshwa munaweza.....twende tukatafute madini maeneo ya Gomaa....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani yeye umempa marks ngapi, nategemea marks ulizompa yeye na mimi unipe kama hizo maana points zote nimecopy kwake.
Yeye nimempa mia ila wewe hazitoshi [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani yeye umempa marks ngapi, nategemea marks ulizompa yeye na mimi unipe kama hizo maana points zote nimecopy kwake.
Daah aisee shukrani sana kwa kutujuza. Ngoja nikafuatilie zaidi hili.Nlikuwa sitaki ku-comment chochote humu kwa sasa ila kwa vile mimi ni tajiri wa nafsi nkaona sio mbaya kama ntawapa hii fursa iliyopo kwa sasa.
Qatar airways wametoa ticket 100,000 kama offer kwa wafanyakazi wote wa sekta ya afya duniani. Offer hii unatakiwa utume maombi na mwisho wa kutuma maombi ni kesho tarehe 18th May 2020 ambapo ukifanikiwa kupata utatakiwa usafiri not later than 10th December 2020. Booking ya safari yako utatakiwa uwe umeifanya at least 14 days before departure.
Offer hii inajumuisha kusafiri popote duniani ambapo Qatar airways ina-fly huku kukiwa hakuna limitation ya destination. Kupitia offer hii mfanyakazi wa sekta ya afya anaruhusiwa kuchukua "partner" mmoja katika safari yake hiyo.
Kupitia offer hii utalipa tu taxes na fee zinazohusu taifa husika hivyo kufanya safari yako kuwa extremely cheap.
Mimi ni mmoja wa wanufaika ambapo nilifanya application kupitia mamachanja na tumepatiwa code yetu tayari for booking.
Katika kutafuta destination tukaangalia trip ya Zanzibar-Oslo, Helsinki -Zanzibar na tunatakiwa tulipie $181.78 tu kwa watu wawili ambazo ni less than 420,000 ila tusafiri si zaidi ya 10th December.
Kwa vile tayari ninayo ticket yangu ya holiday ya mwaka huu, nimeamua kwenda kuipeleka hiyo mbele ili mwaka huu nisafiri kwa offer hii.
Maelezo ni mengi wakuu muhimu ingieni kwenye website ya Qatar airways mjionee
Zoë
Mzigua90
Pamoja sanaNi kweli wewe sio wa kusahaulika, hata hivyo sijakusahau kabisa rafiki trust me. Ni kwamba tu mambo ni mengi nisamehe bure, tatizo ni kwamba siku hizi sina Whatsapp ila bado sio excuse ya maana... nisamehe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
kama vipi call meDaah aisee shukrani sana kwa kutujuza. Ngoja nikafuatilie zaidi hili.
Sasa hauoni kama huo ni ubaguzi wa kijinsia jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Okay okaykama vipi call me