Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Ndyo vizuri tukikutana wote tuna appetite,hakiachwi kitu labda mifupa tu ya samaki,😀
Nakulaga nikifika hatua ya kutokupumua naanza kutaja mkosa yangu!,natubu naanza na kulaumu hata nzi akipita karibu yangu naona Kama Israeli kaja nichukua lkn still nipo😅

Nataka nikashindanie tuzo za kimataifa maana kiloko nitawaonea bure😂😜

Karibu nikufundishe ulaji mpk kutembea unatumia ndoto kufata vitu😅
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe ndio ulimvunjia ndoa maana haiwezekani mtu kaachika tu na wewe unaanza kummendea

Sent using Jamii Forums mobile app
ishu kama hizo uzione kwenye televisheni tu ila kiuhalisia huzalisha maumivu.

umpendaye anaolewa au kuoa, unabaki kutoa pongezi na zawadi za kinafiki.
painful heart..
 
Ninashukuru nimeshatembelea jiji kama Pattaya na Bangkok. Bangkok become s the most visited cities in 2019. In future ningependa kutembelea phonom phen city in Cambodia, Network city USA, Los Angeles city USA, Shanghai and Guangzhou in china and Mumbai in India Johannesburg city South Africa, Kinshasa DRC , Lubumbashi DRC, Kampala Uganda, etc
Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo

Kikwazo cha wengi kutosafiri huwa ni kukosa uwezo wa kifedha na pia muda wa kuondoka katika shughuli za kiuchumi na kijamii

Endapo ukiwa na pesa na muda ungependa kusafiri kwenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom