Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukija unitafute nikutembeze tule na supu ya sato na sangara bila kusahau ugali wa muhoga na kisamvu cha karanga kwa pembeni..😉😅I wish kwenda Mwanza, sijawahi kwenda ,napapenda (samaki)😋
Mwanza ndiyo penyewe sasa, huko mwachie Parabora mwenyewe.
Wow hayo ndiyo mambo sasa, ntakutafuta mkuu na huu ulafi sijui nahisi ntavimbiwa😋😋Ukija unitafute nikutembeze tule na supu ya sato na sangara bila kusahau ugali wa muhoga na kisamvu cha karanga kwa pembeni..😉😅
I wish kwenda Mwanza, sijawahi kwenda ,napapenda (samaki)[emoji39]
Ok, itakua poa sanaaI will take you. Ngoja koona iishe
komesha korona
Ok, itakua poa sanaa
Ukiwa tayari niambie nikupeleke, ila iwe mwezi wa 12Songea.
Sijui kwanini.... but napasikia tuu.
komesha korona
naomba uniweke kwenye list ya wahudumu wako....
Sasa tukikutana watu tunaopenda kula si itakuwa hatari..Wow hayo ndiyo mambo sasa, ntakutafuta mkuu na huu ulafi sijui nahisi ntavimbiwa😋😋
Ngoja tutafute nauli kwa kwelinaomba uniweke kwenye list ya wahudumu wako....
kimchi soju, ramen, korean dumpling, americano itakuwa free
He hehe...!
Ningependa kuzuri Fumba Verde kwa SSB - Said Salim Bakhresa!!Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo
Kikwazo cha wengi kutosafiri huwa ni kukosa uwezo wa kifedha na pia muda wa kuondoka katika shughuli za kiuchumi na kijamii
Endapo ukiwa na pesa na muda ungependa kusafiri kwenda wapi?
Ndyo vizuri tukikutana wote tuna appetite,hakiachwi kitu labda mifupa tu ya samaki,😀Sasa tukikutana watu tunaopenda kula si itakuwa hatari..
Nakula mpaka nakosaga sehemu ya kupumua😂 Cha ajabu sinenepagi tu😅