Mohamed_jumanne
JF-Expert Member
- Feb 16, 2020
- 331
- 936
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀booking muhimu
Uswiss kwa ParaboraParis city of love and romance au Milan city of fashion
Ikulu ya i. Kwenye safe room ya katoroMoja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo
Kikwazo cha wengi kutosafiri huwa ni kukosa uwezo wa kifedha na pia muda wa kuondoka katika shughuli za kiuchumi na kijamii
Endapo ukiwa na pesa na muda ungependa kusafiri kwenda wapi?
Sababu zipi? Nina kinakusukuma kwenda Cartagena?Colombia-cartagena city
Subiri niamke nitakuja kukupa sababuSababu zipi? Nina kinakusukuma kwenda Cartagena?
Sawa sawa, nasuburi.Subiri niamke nitakuja kukupa sababu