Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Thank you so much..
Nlikuwa sitaki ku-comment chochote humu kwa sasa ila kwa vile mimi ni tajiri wa nafsi nkaona sio mbaya kama ntawapa hii fursa iliyopo kwa sasa.

Qatar airways wametoa ticket 100,000 kama offer kwa wafanyakazi wote wa sekta ya afya duniani. Offer hii unatakiwa utume maombi na mwisho wa kutuma maombi ni kesho tarehe 18th May 2020 ambapo ukifanikiwa kupata utatakiwa usafiri not later than 10th December 2020. Booking ya safari yako utatakiwa uwe umeifanya at least 14 days before departure.

Offer hii inajumuisha kusafiri popote duniani ambapo Qatar airways ina-fly huku kukiwa hakuna limitation ya destination. Kupitia offer hii mfanyakazi wa sekta ya afya anaruhusiwa kuchukua "partner" mmoja katika safari yake hiyo.

Kupitia offer hii utalipa tu taxes na fee zinazohusu taifa husika hivyo kufanya safari yako kuwa extremely cheap.

Mimi ni mmoja wa wanufaika ambapo nilifanya application kupitia mamachanja na tumepatiwa code yetu tayari for booking.

Katika kutafuta destination tukaangalia trip ya Zanzibar-Oslo, Helsinki -Zanzibar na tunatakiwa tulipie $181.78 tu kwa watu wawili ambazo ni less than 420,000 ila tusafiri si zaidi ya 10th December.

Kwa vile tayari ninayo ticket yangu ya holiday ya mwaka huu, nimeamua kwenda kuipeleka hiyo mbele ili mwaka huu nisafiri kwa offer hii.

Maelezo ni mengi wakuu muhimu ingieni kwenye website ya Qatar airways mjionee

Zoë
Mzigua90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo

Kikwazo cha wengi kutosafiri huwa ni kukosa uwezo wa kifedha na pia muda wa kuondoka katika shughuli za kiuchumi na kijamii

Endapo ukiwa na pesa na muda ungependa kusafiri kwenda wapi?
Binafsi natamani kuizunguka Tanzania nzima kama mtalii.
 
Canadian naskia visiwa vya huko n zaid ya
Raha

stidy
 
Eruption of pademic dizizi called koona cause hardship there fore we shud go to songea

All of above factors can cause us to go.
Poor infrastructure
Lack of funds
Pests and diseases
Attack from neighbouring communities

komesha korona
 
Back
Top Bottom