Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Nitakuwa nimeanzisha mimi huo ubaguzi?[emoji1787]Sasa hauoni kama huo ni ubaguzi wa kijinsia jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuwa nimeanzisha mimi huo ubaguzi?[emoji1787]Sasa hauoni kama huo ni ubaguzi wa kijinsia jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nlikuwa sitaki ku-comment chochote humu kwa sasa ila kwa vile mimi ni tajiri wa nafsi nkaona sio mbaya kama ntawapa hii fursa iliyopo kwa sasa.
Qatar airways wametoa ticket 100,000 kama offer kwa wafanyakazi wote wa sekta ya afya duniani. Offer hii unatakiwa utume maombi na mwisho wa kutuma maombi ni kesho tarehe 18th May 2020 ambapo ukifanikiwa kupata utatakiwa usafiri not later than 10th December 2020. Booking ya safari yako utatakiwa uwe umeifanya at least 14 days before departure.
Offer hii inajumuisha kusafiri popote duniani ambapo Qatar airways ina-fly huku kukiwa hakuna limitation ya destination. Kupitia offer hii mfanyakazi wa sekta ya afya anaruhusiwa kuchukua "partner" mmoja katika safari yake hiyo.
Kupitia offer hii utalipa tu taxes na fee zinazohusu taifa husika hivyo kufanya safari yako kuwa extremely cheap.
Mimi ni mmoja wa wanufaika ambapo nilifanya application kupitia mamachanja na tumepatiwa code yetu tayari for booking.
Katika kutafuta destination tukaangalia trip ya Zanzibar-Oslo, Helsinki -Zanzibar na tunatakiwa tulipie $181.78 tu kwa watu wawili ambazo ni less than 420,000 ila tusafiri si zaidi ya 10th December.
Kwa vile tayari ninayo ticket yangu ya holiday ya mwaka huu, nimeamua kwenda kuipeleka hiyo mbele ili mwaka huu nisafiri kwa offer hii.
Maelezo ni mengi wakuu muhimu ingieni kwenye website ya Qatar airways mjionee
Zoë
Mzigua90
Binafsi natamani kuizunguka Tanzania nzima kama mtalii.Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo
Kikwazo cha wengi kutosafiri huwa ni kukosa uwezo wa kifedha na pia muda wa kuondoka katika shughuli za kiuchumi na kijamii
Endapo ukiwa na pesa na muda ungependa kusafiri kwenda wapi?
Mwanza unakaribishwa sana mkuu!!I wish kwenda Mwanza, sijawahi kwenda ,napapenda (samaki)[emoji39]
Thank you mkuu, ntakaribiaaMwanza unakaribishwa sana mkuu!!
Gharama za safari,malazi na chakula ni juu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee
Poor infrastructureNaaaam
Forced labour
Taxation
Land alienation
Malizia
komesha korona
Poor infrastructure
Lack of funds
Pests and diseases
Attack from neighbouring communities
You welcome