Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Wuhan
 
Kwa Kweli kusafiri ni hobby nzuri sana
Sikuweka nia ya kwenda mahali ila huwa inatokea tu naamua kusafiri pindi ninapoamua tu
Nimetembea sehemu nyingi duniani na sasa Mungu akinipa uzima tukavuka hii zahma basi ntaangalia nizungukie Caribbean kwa meli
Kusafiri peke yako sio nzuri bora unakuwa na rafiki wa kilindana na kujua mko salama


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…