Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
We kitunguu kule hawaendag watu wafupiBurj Khalifa si kwenda tu kuexperience adventure fulani [emoji12][emoji12].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kitunguu kule hawaendag watu wafupiBurj Khalifa si kwenda tu kuexperience adventure fulani [emoji12][emoji12].
Ok, unamaanisha bila kuolewa siruhusiwi kwenda ama?Olewa na msukuma
Acha kabisa yaani wana ngozi laini wazuri hatari, wahabeshi achana nao ukiwa nae anakuona wewe ndio kila kitu katika maisha yake.Kuna muda huwa nazama huko mkuu. Kuna wahabeshi usihangaike kwenda Addis Ababa mkuu.
Unakuta MTT nywele natural mpaka takoni afu yuko kilabuni anakunywa pomoni. Duu inani pain kinyamaa.
We makabeji umerefuka?We kitunguu kule hawaendag watu wafupi
Me mrefu we makalioWe makabeji umerefuka?
mama wawili
Done[emoji14][emoji846]Ok, unamaanisha bila kuolewa siruhusiwi kwenda ama?
Tuombe uzima tu, tunaenda mkuu wewe ni kitu gani unakipenda zaidi kuhusu Mwanza the Rock City?
Ofcourse yes na karibu sana mkuu, uje ujionee a true definition of Green city 💥
Na hasa barabara ya kwenda Chunya, nasikia ina kivutio chake! Tuombe uhai.Ofcourse yes na karibu sana mkuu, uje ujionee a true definition of Green city [emoji95]
😅😅😅We makabeji umerefuka?
mama wawili
Marekani?View attachment 1453908View attachment 1453911View attachment 1453913View attachment 1453914View attachment 1453916View attachment 1453917View attachment 1453918View attachment 1453919View attachment 1453920View attachment 1453922
Hawaii
Sijui nitaBET,AU NITAMPIGA HELA MR.KUKU,ila maaneo nitakuja kufika
Tatizo siyo muda wala pesa ni utamadunikaratu- naambiwa kuna mabinti wazuri wa kiiraq na sio wachoyo... hela ipo tatzo muda!.
Sent using Jamii Forums mobile app