Ancient Resident
Member
- Mar 9, 2023
- 48
- 61
Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili,
Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri atakayenifundisha,
Natanguliza shukhrani zangu za dhati kwenu, Ahsanteni
Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri atakayenifundisha,
Natanguliza shukhrani zangu za dhati kwenu, Ahsanteni